Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
We dogo ulisoma hata uraia la saba? Serikali imegawanyika katika mihimili mitatu. Kuna serikali kuu, Bunge na Mahakama. Hii vyote ni serikali moja ila vimejigawa kimajukumu. Kwa hiyo huyu mtoa mada anawapotosha. Hata hiyo ibara ya nne ya katiba ipo wazi. Ndio maana ameweka ibara ya 59(3) ili awadanganye sababu Chadema vichwa vyenu vimejaa malailoni.Embu tumia kiswahili niandikie mihimili mitatu usijifiche kutumia kiingereza labda lugha imekupiga chenga