Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Ni ngumu labda tukitoka madarakani.Jaribu kuwa na uwezo wa kupambanua mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu labda tukitoka madarakani.Jaribu kuwa na uwezo wa kupambanua mambo.
Hamna bangi na wachawi wa GamboshiNani kasema au Konyagi inafanya kazi?
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3, Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3, Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Mpumbavu kama wewe utanieleisha nini mimi?Hujui tofauti kati ya Dola na Serikali. Kajielimishe.
Sijui.Bunge ni idara au wizara ya serikali?
Uwezo mdogo wa kujua mambo. Low Iq.Kumbe Chief Justice sio tena kiongozi wa Mhimili wa Mahakama ila Waziri wa Sheria!aaaahh
Inaitwa Mihimili mitatu ya Dola ambapo serikali ni mhimili mmojawapo, sio Mihimili mitatu ya serikali.Government has three branches, which are Legislature, Executive and Judiciary.
My question is what are the swahili words for the Government and executive?
Mjinga ni mtu kama wewe ambae hujui lolote ila unashabikia lolote tu litaloandikwa mitandaoni.Wakati mwingine kuficha ujing wako kwa kunyamaza ni vizuri.
Mpumbavu kama wewe utanieleisha nini mimi?
Hivyo hivyo ulivyosoma.Boya jingine hili. Hata kuandika hajui. "utanieleisha" ndiyo neno gani?
Aseee Inabidi watu wengi sana warudi tena shule kwa majibu ya humu elim ya uraia hauijawafikia wengi sanaDola ni mhimili wa serikali/government yaani dola ndo kwa kiha tunaita executive
Mkuu,1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU!
View attachment 1486607
2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Mpumbavu lazima utoe povu hata kama umeelewa. Maana ni bichwa majiBoya jingine hili. Hata kuandika hajui. "utanieleisha" ndiyo neno gani?
Mwenyekiti gani huyo wa kijiji anakuwa mjumbe wa kamati ya usalama wilaya aseee .... Elimu yetu ni tatizo sana wajumbe wa kamati ya usalama niHypothetically
Mwenyekiti wa Kijiji ni mjumbe wa kamati ya Usalama ya Wilaya, unataka kuniambia Mwenyekiti ni msimamizi wa kamati ya Usalama ya Wilaya?
Mwanasheria Mkuu sio msimamizi bali mshauri na hapo ndipo usahihi wa Fatma ulipo.
Tatizo ni upeo...Mwenzenu kaweka Hadi reference, Nyie mnamshambulia yeye Kama yeye. Tatizo Ni Nini mataga?
Mkuu hilo ni zao la elimu yetu,unaanzaje kubishana na msomi na wewe ni mweupe kichwani mataga yaache yaendelee kutaga mayai.Mwenzenu kaweka Hadi reference, Nyie mnamshambulia yeye Kama yeye. Tatizo Ni Nini mataga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee huoni aibu? KhaaaaaaahKwa hiyo Bunge sio serikali? Mahakama sio serikali?
UmemalizaaaaaaaaaaahTatizo ulifundishwa na Waalimu ambao pia Ni failure Mama wewe ikapelekea na wewe ukafeli na bahati mbaya zaidi HUJUI kama Hujui.
Tuna kitu kinaitwa DOLA na kwa waalimu na wakufunzi waliotufundisha sisi wengine, kwa Kiingereza tuna State. Dola ndiyo yenye Mihimili Mi 3. Mmoja ni Serikali, mwingine ni Bunge, na wa Mwisho ni Mahakama. Ukisoma Katiba ya JMT Ibara ya 4, utaelewa angalau kidogo. Kwa kiingereza ambacho ni cha elimu ya juu, tuna 3 Arms of State ambazo ni 1. Executive (Government) 2. Legislature (Parliament) na 3. Judiciary.
Huyo Mwalimu aliekufundisha 3 Branches of the Government, aidha yeye mwenyewe ndie tatizo, au Mtaala uliotumika kukufundisha (ambao naamini ulitungwa kutengeneza VILAZA wengi kama ulivyo lengo likiwa kuendelea kuwatawala)
Kama hadi hapa utakuwa mbishi, basi endelea kutetea 7000/ yako.
Hili ni kipindi kigumu sana katika historia ya Tanzania.AG kiazi, no wonder ofisi yake inaandika sheria za hovyo hovyo.