Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
We mpumbavu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee huoni aibu? Khaaaaaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mpumbavu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee huoni aibu? Khaaaaaaah
Wee ndo mpumbavu usiejishtukia, khaaaaah nna mashaka na Elimu yako.We mpumbavu?
MmmmhWee ndo mpumbavu usiejishtukia, khaaaaah nna mashaka na Elimu yako.
Kwa hiyo unataka nini?Wee ndo mpumbavu usiejishtukia, khaaaaah nna mashaka na Elimu yako.
We mpumbavu?
Wee ndo mpumbavu usiejishtukia, khaaaaah nna mashaka na Elimu yako.
Kuweni na AmanKwa hiyo unataka nini?
Sitaki chochote ila kuwa muelewa, unless unafanya kusud huo ubishiiihKwa hiyo unataka nini?
Sorry daddieeh
Punguza hasira sawa ,binti yangu ,ujue nakupenda sanaSorry daddieeh
We mpumbavu nenda kasome doctrine of separation of powers. Ndio utajua kuwa ni serikali moja ambayo imejigawa kimajukumu ya utendaji,bunge na mahakama.Sitaki chochote ila kuwa muelewa, unless unafanya kusud huo ubishiiih
Tanteeeeeeeeeeh deah
Tatizo lako n mbishi tyuuh, a think unaekewa ila unafany makusudi, anyway sorry kwa hilo.We mpumbavu nenda kasome doctrine of separation of powers. Ndio utajua kuwa ni serikali moja ambayo imejigawa kimajukumu ya utendaji,bunge na mahakama.
Mpumbavu wewe unaekariri upuuzi.Tatizo lako n mbishi tyuuh, a think unaekewa ila unafany makusudi, anyway sorry kwa hilo.
Mwenzenu kaweka Hadi reference, Nyie mnamshambulia yeye Kama yeye. Tatizo Ni Nini mataga?
Ni dola ndiyo ina mihimili mitatu serikali ni mmojawapo,ndio maana inashitakiwa mahakamani na ndio maana inaomba kibali cha bunge kutùmia fedhaSerikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3, Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee
Niandikie maneno ya kiswahili ya maneno hayaInaitwa Mihimili mitatu ya Dola ambapo serikali ni mhimili mmojawapo, sio Mihimili mitatu ya serikali.
aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).Jaribu kuwa na uwezo wa kupambanua mambo.
Ahaaa. Nasikikitika sana. Kwa hiyo unataka kusema dola ndio ina mihimili mitatu?aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).
Bishweko usidanganywe na mtu. Kuna kitu kinaitwa separation of powers. Hapo ndipo government inajigawanya kufanya majukumu yake kwa kuwa na executive,judiciary na legislature.aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).