Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Sitaki chochote ila kuwa muelewa, unless unafanya kusud huo ubishiiih
We mpumbavu nenda kasome doctrine of separation of powers. Ndio utajua kuwa ni serikali moja ambayo imejigawa kimajukumu ya utendaji,bunge na mahakama.
 
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?

Serikali ina mihimili 3, Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Ni dola ndiyo ina mihimili mitatu serikali ni mmojawapo,ndio maana inashitakiwa mahakamani na ndio maana inaomba kibali cha bunge kutùmia fedha
 
Huyu mama mkorofi na muongeaji aisee Jana nimekutana naye jengo la Alfa house mkabala na jengo la makao makuu ya vodacom.hapana huyu mama mtata sana.mpaka nikawauliza wenzangu huyu mama kaolewa maana anaongea kama Kasuku aisee

Kukutana naye mara moja umeshamfahamu?
 
aaah yaani nawe unaona una uwezo ..mtu ambae awezi kutofautisha Dola( State) na Serikali (Government).
Bishweko usidanganywe na mtu. Kuna kitu kinaitwa separation of powers. Hapo ndipo government inajigawanya kufanya majukumu yake kwa kuwa na executive,judiciary na legislature.
Executive ina husika na utendaji,judiciary kutafasiri sheria na bunge kutunga sheria na kuisimamia executive. Lakini hii ni serikali moja na inafanyika hivi ili kuondoa ukiritimba maana kazi zote hizi zingenfanywa na executive ingekuwa ni tabu maana rais angekuwa na madaraka makubwa sana.
Lakini pamoja na hayo hakuna complete separation of power. Ndio maana unaona Judiciary ipo chini ya wizara ya sheria na katiba ambayo ni executive. Bunge lipo chini ya ofisi ya PM. Kwa hiyo usiwe kama hao wapumbavu wa ufipa.
Ndio maana hata rais ni sehemu ya Bunge japokuwa sio member. Na rais pia anaweza kutunga sheria kwa kufanya executive orders.
Pole sana lakini maana ndio hali yenyewe.
 
Back
Top Bottom