ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
- Thread starter
- #21
soma post#5, usiwe moved na ccm! kujitokeza kuwatetea watu ambao unahisi hawakutendew haki haikatazwi! Achana na oxford dictionary, eveybody is aware of its existene, judicial notice I can say!
hajaweka tangazo kuwa mimi ni wakili mashuhuri njoo upate msaada
Hakuna anayepinga wajibu wa Wakili kama Kambole kutetea haki za Raia. Tunachozungumza ni taratibu zinazotumika kuwaleta kwake anaotaka kuwatetea. Sheria za Msaada wa Sheria zimeweka utaratibu. Sio wa ku solicit wateja namna hii. Champentry....ina maana yeye hajui njinsi bora ya kufikia hao waathirika? Kwa kutumia mitandao huoni kama inafika hata kwa wasio walengwa?. Wakili sio Hakimu au Jaji, ni Afisa wa Mahakama, ukishawishi wananchi wakuletee kesi na ikitokea humeshindwa katika kesi hiyo unawaambia nini uliowashawishi?
Kambole asifanye siasa kwenye taaluma.