Fatma Mwasa na Halima Dendego taswira halisi ya 'unamjua nani'

Siasa ndivyo ilivyo

Chadema huku Mzee Mtei alimrithisha uenyekiti mkwe wake Mbowe,
Kisha Mbowe ktk teuzi zake za viti maalum yupo mzazi mwenzake Joyce Mukya, Mzee Ndesamburo akahakikisha bintiye Lucy Owenya nae anaukwaa viti maalum, Lissu nae akampachika dada yake Christina ktk viti maalum nk nk ( wengne watajazilizia)

Sasa Chadema kwa udogo huo wanapangana namna hio imagine waje kushika nchi itakuwaje ktk undugulization plus ukabilization
 
Yaani wanaforce tu ila hata wanachokiongea sidhani kama wenyewe wanakielewa.

Aisee Mungu atusaidie tu.
Hatari kweli kweli....taifa linahitaji mageuzi muhimu ya kikatiba na fikra mpya za kimageuzi ili kuendana na dunia ya kiteknolojia.
Yoda
 
Ni Watanzania, wana sifa na uwezo shida iko wapi? Au mnataka Rais ateue Wamalawi?
 
Siyo Watanzania na hawana sifa? Naomba kujua.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Tafuta Connection za maaana achana na kutaka zile zenu za kutumiana tu.
 
Pamoja na yote Fatma Mwassa sio mwepesi.. namjua tumefanya nae kazi... she is so bold... hata wakati wa JK hakupewa u RC kwa bahati mbaya.
 
Hahahaaaa, ulitaka rais aote asiowajua ndio awateuwe?
Success is all about connections.
Kama na wewe ni mwenzangu na mie, basi tutulie tu!
Mwenzangu na mie πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tutulie hamna namna.
 
Kama ujulikani na watawala utakuwa mlalamikaji tu kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii
 
Samia anasa rais hana rafiki.

Ila inaonesha watu wengine huwateuwa sio kwa kupenda mwenyewe wengine hana hata imani nao ila ndio hivyo.
 
Tena Samia ana huruma sana. Mm nikiwa rais watoto wangu, shemeji zangu na ndugu zangu wote ndiyo watapewa uwaziri.

IGP, CDF, DCI, DPP, gavana, ma(RPC, RAS, DAS, DC, DEO, REO et.c) watakuwa watu wa kutoka kijijini kwangu tu.
Na ndo watakupigia kura hao hao mheshimiwa rais wa ndugu zako na wanakijijini kwako.
 
Hizi ndizo hulka za kisiasa zipo dunia nzima. Vigumu SSH awaache wana CCM wenzake aje ampe ukuu wa mkoa Halima Mdee!. Hata kama anaiva nae vizuri hao wana CCM wenzake watamshangaa na kumsimanga.
China hamna
 
Tena Samia ana huruma sana. Mm nikiwa rais watoto wangu, shemeji zangu na ndugu zangu wote ndiyo watapewa uwaziri.

IGP, CDF, DCI, DPP, gavana, ma(RPC, RAS, DAS, DC, DEO, REO et.c) watakuwa watu wa kutoka kijijini kwangu tu.
Kijiji chenu wasomi wako wawili tu hai wengine utawatoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…