jana si ulimsikia kauli yake?huenda haya malalamiko anayapata.alisema ati yeye hachagui myu kwa kufahamiana,udini,ukanda nk.Uteuzi wa wamama haws wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao.
I nachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM. Sasa Samia naye kishaamua liwalo na liwe. Anagawa teuzi kwa Ndugu na Jamaa. Alianza na Ma DC wachache akiwamo yule binti wa Mkuranga. Leo angalia akina Fatma mwasa ambaye yupo kwenye NGO ya Wanu Mtoto w Rais. Anyway moyoni anasema mbona Magufuli alifanya wacha na mie nifanye tu.
Source ITV taarifa ya habari ya saa2 kamili usiku wakati akiwaapisha wateule wake.