Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Fatma naona ana vita binafsi na Comrade Mwingulu, kweli swala la tozo angekuwa yeyote hata yeye Shangazi angefanya kama anavyofanya Comrade Mwingulu. Ndiyo kiapo chake kinavyotaka kupokea maelekezo ya mamlaka za juu yake mfano bunge na kutekeleza, kama hutaki maelekezo andika barua ya kujiuzulu Uwaziri mara moja.
Pia ni makubaliano ya kamati mbalimbali na wabunge waliopitisha tozo kwa pamoja wameamua iwe hivyo ili tuweze kutoka tulipo nashauri tulipe tu Shangazi tulia, haitatokea kodi ikalipwa kwa hiari duniani kote.
Kingine kuhusu picha ya uliyempendekeza, ukishakuwa CAG basi kikatiba hakuna tena namna. Kuwa waziri iwe wa fedha au wa tozo.
Tulipe tozo tusubiri maendeleo, tupunguze mijadala.