Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Sheria zinatungwa na nani ?
Serikali ni nini na inaundwaje ?
Kwahiyo Fatma Karume siyo.sehemu ya jamii wala serikali ?
Maovu ni nini ?
Hivi unajua kufikiri sawa sawa kweli ??
Kutoa elimu pia ni sehemu ya kulinda na kujenga jamii Mkuu so nipo Kazini
Sawa mkuu, kila la kheri.
Tumepishana nilijua bado uko Unguja tupige kahawa Forodhan Fish market, kumbe umeshaondoka?
unapenda kuandika magazeti yako marefu lakini sidhani kama ulielewa hoja ya Fatuma.
Kifupi hoja ya Fatuma imejikita kwenye "haki ya faragha" kwa maneno mengine sio kwamba anakubaliana na ushoga ila yeye amejikita zaidi kutambua haki zao kama wanadamu kuwa Hilo suala la wao kufanya wanayoyafanya ni utashi na uamuzi wao kama wanadamu wenye akili zao timamu.
lakini Mimi kwa kuongeza hapo watanzania ni wanafiki sana maana huwa wanashabikia "kufi.rana au mitungo" lakini wanajifanya wanapinga ushoga, sasa kama mtu anashiriki kinyume na maumbile au kufanya mapenzi kwa makundi wanatofauti gani na mashoga?
Tafakari tumia akili sio hisia hizo sheria za asili ni matokeo ya utashi wa mwanadamu tu sio asili kama inayotakikana ionekane ndio maana leo watu wanafanya mapenzi kwa mdomo au vitu vingine ambavyo ni ajabu kuliko hata huo ushoga.

kama umenielewa nilichokisema hiyo yote ni matendo yenye viashiria vya ushoga ndio maana nimesema sisi watanzania ni wanafiki kwa kushangilia hayo matendo huku tukipinga ushogaKwa hiyo mkuu kuweka chululu mdomoni au kule unapotoka uchafu ni sawa?
Nimekuelewa kabisa hoja yako ya msingi kuhusu haki ya faragha, kwamba wapewe haki yao ya uhuru.
Mie nipo hapo kwenye u asili. Asili ya binadam mchana fanya kazi usiku ulale, lakini kuna watu wanakesha.
kwani matendo wanayofanya watu wazima wenye akili timamu faraghani bila kuvunja sheria wewe inakuuma nini?Hoja ya Fatuma inaingia mchanga Kwa sababu hakuna aliyewahi kuingilia Faragha za watu, na hata serikali haujawahi kuingilia Faragha za watu.
Tatizo linaanzia pale anapojaribu kuiona sheria inayozuia ushoga na mambo ya kifuska yanayofanyika Faraghani kupitwa na wakati Jambo ambalo linamfanya ajishushie heshima yake.
kwani matendo wanayofanya watu wazima wenye akili timamu faraghani bila kuvunja sheria wewe inakuuma nini?
Sheria za duniani zimetungwa kwa kuangalia sheria za asili
Nakubaliana na wewe kuwa yapo mambo ya asili yanayolinda utu wa mwanadamu na hayawezi kupitwa na wakati ikiwemo hili la ushoga
Ukitetea ushoga hata kama umesoma lazima udharaulike
wewe haujawahi kuiba,kuzini au kudhulumu?Wapi nimesema inaniuma??
Unapomuona mtu anatenda Uovu, anaiba, anajua,anazini, anadhulumu n.k
Ukamuonya kwani inakuuma nini??
Au jukumu lako ni lipi kupitia maoni uliyoyaandika hapo?
Mimi jukumu langu ni kukemea Uovu,
Nafahamu wapo jukumu Lao ni kuutetea na kuifanya?
Je wewe umejipa jukumu gani kupitia maoni yako hayo??
tuanze na kukemea mapenzi kinyume na maumbile pamoja na mitungo huko ndio vyanzo vya ushogaSheria za duniani zimetungwa kwa kuangalia sheria za asili
Nakubaliana na wewe kuwa yapo mambo ya asili yanayolinda utu wa mwanadamu na hayawezi kupitwa na wakati ikiwemo hili la ushoga
Ukitetea ushoga hata kama umesoma lazima udharaulike
wewe haujawahi kuiba,kuzini au kudhulumu?
Yupo ndani ya pumzi yakoMungu yuko wapi mkuu?
basi ili tuweze kukemea ushoga tuanze kupambana na mapenzi kinyume na maumbile na mitungo hivyo ndio viashiria vya awali vya ushogaWapi nimesema sijawahi kufanya hayo?
Na nilipofanya nilionywa na kupewa adhabu
Swali jingine
basi ili tuweze kukemea ushoga tuanze kupambana na mapenzi kinyume na maumbile na mitungo hivyo ndio viashiria vya awali vya ushoga
Haya giza limeshaingia, kafirwe ukalale.Unauliza maswali ya kitoto.
Tafuta watoto wakujibu maswali yako.
Nimeshaelezea kwenye andiko majibu yote yapo humo