Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tulia ni mnafiki kwa hili amejichafua na vingereza vyake😄😄Japo inafahamika kwamba Tulia Ackson hana Aibu yoyote kutokana na uzoefu wake kwenye Mambo ya ajabu, Ukizingatia kwamba Alikuwa anatembea na Majeneza kule Mbeya wakati akisaka Ubunge (Ishara ya Ushirikina).
Hata hivyo Wakili Msomi Fatuma Karume amemuumbua kutokana na kujifanya kupata uchungu kwa kifo cha kishenzi cha Mzee Ally Kibao aliyeuawa
Angalia unafiki wa Tulia Ackson halafu angalia mawe ya Fatuma Karume
Soma Pia: Kuelekea 2025 - Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"
Eti nachukia kifo. Sasa nani kawambia anakipenda