Halafu huyu Tulia, yaani yeye she hates death ambayo inatokana na utekaji na uuaji wa watu wa vyama vya upinzani tu? Kama huku sio kutafuta kiki za kisiasa, ni mara ngapi amefanya jitihada za kukomesha mambo mengine yanayosababisha vifo vingi sana vya watanzania kuliko hata hili la utekaji?
Kwa mfano, vifo vya watu wanaouliwa na polisi wakiwa wameshikiliwa mahabusu, ameonyeshaje she hates death? Au hata vifo vya maelefu ya Watanzania kutokana na uzembe wa TANROADS kurekebisha barabara kwa sababu hawatumii fungu la road maintanance ipasavyo, kwa nini hatusikii Bunge likipitisha mjadala kwamba fedha za road maintanance kutoka bei ya mafuta lazima zitumike kwa lengo husika? Lini tutasikia Bunge likisema kila kifo kinachotokana na ajali inayotokana na TANROADS kuzembea kurekebisha barabara, TANROADS watawajibika pamoja na kulipa fidia kwa sababu fedha za kurekebisha barabara zinachangwa kwa wingi kupitia kununua diesel na petroli?
No Tulia, you are lying, you dont hate death, unless you mean you hate the anticipated death of CCM, implying the death of Kibao was justifiable in trying to delay that.