Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao

Tulia ni mnafiki kwa hili amejichafua na vingereza vyakeπŸ˜„πŸ˜„

Eti nachukia kifo. Sasa nani kawambia anakipenda
 
Jinsi tu alivyoingia Bungeni inatosha kusema hawezi kuwa mwadilifu
 
hiyo ndio tafauti kati ya mtu aliye soma na kuelimika, mtu aliye soma kwaajiri ya vyeti tu. Tulia Acksoni ni mfano mzuri wa wasomi wa vyeti ,wapumbavu kuwahi kutokea.
Eti "go baba yetu"

Kwa nini agoo ? Agoo wapi ?

Mtu kauliwa, kikatili ajabu, unasema aende, kwa nini aende ?

Imagine huyu light weight, looks like a manican by the way, alikuwa mkufunzi wa sheria UD..... Hiki chuo nacho ni bottom of the barrel in all respects, tunadanganyana tu kukiheshimu kwa saab ndo chenyewe tulichonacho.....
 
Tutahakikisha harudi bungeni
Hii ni habari njema, kama uchaguzi ujao mtakuwa mmepata uwezo wa the capacity and capability kuhakikisha nani anarudi bungeni na nani harudi, ningeshauri uwezo huo pia utumike pale patakatifu petu kwasababu mpaka hapa ninapoandika anayeamua mshindi wa uchaguzi sio mpiga kura bali ni muhesabu kura, naomba nisikuulize mtahakikishaje fulani harudi bungeni bali nawasubiria kwenye kupima matokeo.
Hongereni sana kwa uwezo huo mpya mlio nao sasa.
P
 
Kwa mara ya kwanza nimeamini uchawi upo. Eti anachukia kifo wakati matendo yake ni dhahiri anafurahia. Kuna watu ni kansa katika taifa na dawa yake sio kuwachekea ni kuwaondoa wasiwepo kabisa.
 
Mashujaa wapo Facebook sasa
Watu wanatoa makavu bila kupepesa macho
 

Attachments

  • Screenshot_20240910-071651.jpg
    312.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240910-071819.jpg
    316.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240910-071855.jpg
    364.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240910-071948.jpg
    342.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240910-072407.jpg
    355.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240910-072542.jpg
    297.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240910-072729.jpg
    340.2 KB · Views: 3
Nani huyo unampa hiyo kazi? Unamlipa? Wewe sio mtanzania?
 
Insta umesoma? πŸ˜‚ Ni hatari!
Hapa nimescreenshot nzurinzuri
Yaani ni kachambwa hatari
Fb huwa Wana kauli za rejareja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huko mjini insta sijapita,
Asilimia 90 ya comment ni wamenyooka naye mazima

Mimi kwangu hawa ndio mashujaa wanaomchana mtu mubashara kwenye post yake,wakiwa na Id zao halisi,,tofauti na huku jf watu wanaomchana wamejificha.
 
Sisi wa JF ndio wa insta na FB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…