Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao

Nawapongeza sana aisee
Kuna namna watanzania tumepunguza unafiki
Hatupepesi macho.

Hadi wale anawapaga hela wote wanamchamba😂😂
ETi Go baba go ,mnafiki mkubwa😂
Na hajui hata matumizi ya maneno ya kiingereza mahali sahihi..."go baba go"...!Huko siyo kumpongeza mtu kwa kufariki?Amefanya kitu kinaitwa "one to one correspondent translation "/tafsiri sisisi kutoka kiswahili kwenda "kingledha" ambapo havipatani.Shule na lugha ni shida.Vyeti vyake akafungie mbalagha!🤔
 
Tulia hajatulia,, Kabisaaa
 
Na hajui hata matumizi ya maneno ya kiingereza mahali sahihi..."go baba go"...!Huko siyo kumpongeza mtu kwa kufariki?Shule na lugha ni shida.Vyeti vyake akafungie mbalagha!🤔
Kuna comment nimeinukuu
Mwanafb kaandika kuwa Tulia anasema go baba go
Mnafiki mkubwa 🤣

Jamani
Mimi sina Cha kucomment
Huko fb na Insta wamemaliza kazi kwenye page zake.
 
Utachelewa sana kwa viongozi hawa tatizo wengi hawana hofu na siku ya malipo kwa kila ulichokitenda
 
Tulia asome comments kwenye mitandao yake ya kijamii alipoweka hii post, ataelewa vizuri wananchi wanamchukuliaje.

Haiwezekani katika hali ya kawaida kati ya waliotoa maoni 1000 waliokuunga mkono wawe watatu tu!
Unadhani hajasoma?
Ni vile amejitia hazioni leo.

Si anasomaga comments za watu mara kawatumia hela waliomuomba.

Jana comments zimemkalia vibaya.
 
Sure huyu maza ni mtawala kuna gape kubwa sana kati yake na wananchi.
 
Kuwa na mtu kama Tulia spika wa Bunge, ni miongoni mwa laana kwa nchi. Haka kamama ni kashirikina kalikojaa roho mbaya. Mbeya wafanye kila namna kasirudi Bungeni. Hata kama mbunge atatoka CCM, basi asiwe Tulia.WanaMbeya, tuondoleeni hiyo laana.
 
Kapatwa kweli kweli.
 
Akiweza kubadilika na kuwa kiongozi
Basi atakuwa kiongozi mzuri kuwahi kutokea
She is very smart,basi tu.
 
Kuwa na mtu kama Tulia spika wa Bunge, ni miongoni mwa laana kwa nchi. Haka kamama ni kashirikina kalikojaa roho mbaya. Mbeya wafanye kila namna kasirudi Bungeni. Hata kama mbunge atatoka CCM, basi asiwe Tulia.WanaMbeya, tuondoleeni hiyo laana.
Uchakachuzi ukiwepo Mbeya watafanya nini?

Sasahivi wametindua barabara
Wametuachia mvumbi
Ujenzi umesimama.

Wanataka vumbi litupige
Baadaye waje na ushujaa wa kumalizia.

Upuuzi mtupu.
 
Uchakachuzi ukiwepo Mbeya watafanya nini?

Sasahivi wametindua barabara
Wametuachia mvumbi
Ujenzi umesimama.

Wanataka vumbi litupige
Baadaye waje na ushujaa wa kumalizia.

Upuuzi mtupu.
Ni kuwa wakali na walinzi wa kura.Kwani kipindi cha nyuma kilikuaje hadi ushindi?Ni yule kiongozi wa malaika wabaya ndiye alichafua.He has to rot in hell!
 
Anko naona kabisa hii imekugusa sasa kama mpaka wewe umefikia hali hii kuna hatari naiona mbeleni huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…