Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao

hiyo ndio tafauti kati ya mtu aliye soma na kuelimika,na mtu aliye soma kwaajiri ya vyeti tu. Tulia Acksoni ni mfano mzuri wa wasomi wa vyeti ,mapumbavu kuwahi kutokea.
Kauli yake mbeya kuwambia wananchi washighulike na watu wanao isema serikali ilinifanya nimuone mtu wa hovyo sana sana sana
 
Nadhani mkuu haujauelewa 'utamaduni' wa machawa kumbe!

Samia alivyoonesha kuguswa ndiyo naye katoka uchochoroni kufuatisha kuigiza kulaani na kusikitika.

Hapo bado utasikia matawi mbali mbali ya chama yakiunga mkono kauli ya Rais na kulaani mauaji hayo.
 
Mbeya imetupa spika wa ajabu sana ktk historia ya Tanzania,yaani wanyakyusa na ujanja wao wote kaone spika wa kutoka Mbeya sijawai ona hovyo kama hii.
 
Huyu Tulia Acksony ni spika wa nunge wa ovyo kabisa kupata kutokea toka Tz IPATE uhuru. Huyu ni zero brain
 
Tulia asome comments kwenye mitandao yake ya kijamii alipoweka hii post, ataelewa vizuri wananchi wanamchukuliaje.

Haiwezekani katika hali ya kawaida kati ya waliotoa maoni 1000 waliokuunga mkono wawe watatu tu!
Hajali maoni ya watu yanasemaje, yeye anajali kuilinda serekali. Kwa hapa kwetu maoni ya watu hayana nguvu bali mabavu ya serekali.
 
Mbeya msituangushe 2025 hako kabibi kama kachawi.
 
Kamwe msomi huwa hatumiki kama kopo la chooni, msomi huongozwa na utashi wake na elimu yake towards the truth
Kuna msemo mh.Gambo akiwa DC bagamoyo alisema wadada wengine wanatusumbua hapa na degree za chupi 😁
 
Hivi ukiwa ccm ni lazima ushabikie uovu na dhuluma?
Ni mambo ya aibu sana kwenu ccm ni as if mmefunga ndio na yule mwovu shetani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…