Tulia naye analinda ugali wake, anaogopa Mhimili ulijichimbia chini zaidi na hataki yampate ya mtangulizi yake. Nina uhakika ule Mhimili uliochimbia chini zaidi ukiamua kila kitu kitakuwa safi na wote watafuata. Tunamuonea tu maana kama kuna maagizo kutoka juu kuwa yasijadiliwe yeye afanye je na cheo anakihitaji?