Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hawakuwa na haki hiyoSo walivyomuita Pascal Mayalla bungeni hawakuwa na haki ya kufanya vile?
Hivi kwanini Ndugai ana uwezo mdogo sana ?Imepenya hiyoooo
Alienda tu kwakuwa kipindi cha mwendazake, hata askofu angeweza kuitwa kwa mufti na kusomewa shitaka kwa kauli aliyoitoa kanisani!!So walivyomuita Pascal Mayalla bungeni hawakuwa na haki ya kufanya vile?
Usingeshangaa akipelekewa mapolisi wenye silaha.So walivyomuita Pascal Mayalla bungeni hawakuwa na haki ya kufanya vile?
Length ilikuwa ni kumtisha ili aunge mkono uovu wote wa CCM, BUNGE NA SERIKALI. Na walifanikiwa kumnunua baada ya pale Mayalla ni kama alitolewa akiliSo walivyomuita Pascal Mayalla bungeni hawakuwa na haki ya kufanya vile?
Amekuwekea attachment isome vizuriPaschal Mayala aliwahi kuitwa kwenye kamati kwani alikua Mbunge?
CAG aliwahi kuitwa kwenye kamati, kwani yeye alikua mbunge?
Fatuma aache kujibu hoja kimipasho, ajibu kama mtaalamu wa sheria, je kisheria bunge linaweza kumuita nani na nani kwenye makati ama hawaruhusiwi kumuita mtu yoyote asie mbunge kwenye kamati.
Sasa kumwambia Ndugai asome kifungu gani inatusaidia nini sisi tusieolewa sheria?
Wewe ukisoma hicho kiambatanisho kuna mahala unaona wamendika utaratibu wa kuwaita watu kwenye kamati za bunge?Amekuwekea attachment isome vizuri
Mashabiki na wafuasi mataga mna matatizo Sana, bado mnaishi ktk ulimwengu wa zidumu fikira za mwenyekiti wa CCM. Ukisoma hiyo Cap 2.1 imeanza na ufafanuzi mzuri Tu.Wewe ukisoma hicho kiambatanisho kuna mahala unaona wamendika utaratibu wa kuwaita watu kwenye kamati za bunge?
Paschal Mayala aliwahi kuitwa kwenye kamati kwani alikua Mbunge?