Fatuma Karume: Mwambieni Ndugai Kanuni za Bunge si Sheria za Nchi, hazituhusu sisi

Fatuma Karume: Mwambieni Ndugai Kanuni za Bunge si Sheria za Nchi, hazituhusu sisi

Swali kwa Job:

Kwani wanahabari ni wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge?

Ushauri wangu ni:
Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na si NCHI. Hazituhusu sisi. Si SHERIA za Nchi.

Bunge si Mahakama. Halina MAMLAKA la kumuhukumu mtu yeyote. Job anataka kuingilia MAMLAKA ya Mahakama. Kama wanahabari wamevunja SHERIA awapeleka Mahakamani. Kanuni za Maadili za Bunge hawezi kuzitumia kuwahukumu wanahabari. Bunge si MAHAKAMA!"

Wakili msomi Fatma Karume

View attachment 1829916
dunga amelewa madaraka
 
Alienda tu kwakuwa kipindi cha mwendazake, hata askofu angeweza kuitwa kwa mufti na kusomewa shitaka kwa kauli aliyoitoa kanisani!!
Hivi ukiitwa halafu uko Dar na ukawa huna nauli ya kwenda Dar inakuwaje?
 
Ndugai anajibaraguza na kinga asiyokuwa nayo, kila mtu anawajibika kwa sheria za nchi, hayupo aliye juu ya sheria bali ni Mungu pekee.......hata Mungu huwa anaapa kwa jina lake kwamba hatafanya au atafanya jambo fulani na haendi kinyume.
 
Eti nikisema Bunge ni dhaifu. Anachukia na kukuita.
Basi Taifa zima tuseme Bunge ni Imara. Hii haitakuwa kinyume na Katiba.
 
Kwani ile sheria ya Kinga, mamlaka ya bunge haituhusu? Maana wanaisema sana
 
Swali kwa Job:

Kwani wanahabari ni wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge?

Ushauri wangu ni:
Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na si NCHI. Hazituhusu sisi. Si SHERIA za Nchi.

Bunge si Mahakama. Halina MAMLAKA la kumuhukumu mtu yeyote. Job anataka kuingilia MAMLAKA ya Mahakama. Kama wanahabari wamevunja SHERIA awapeleka Mahakamani. Kanuni za Maadili za Bunge hawezi kuzitumia kuwahukumu wanahabari. Bunge si MAHAKAMA!"

Wakili msomi Fatma Karume

View attachment 1829916
Masikini! Kweli huyu jamaa anahitaji somo. Ndiyo maana anakanyaga katiba aliyoapa kuilinda. Hajui hata matumizi ya kanuni za bunge analoliongoza.
 
Paschal Mayala aliwahi kuitwa kwenye kamati kwani alikua Mbunge?

CAG aliwahi kuitwa kwenye kamati, kwani yeye alikua mbunge?

Fatuma aache kujibu hoja kimipasho, ajibu kama mtaalamu wa sheria, je kisheria bunge linaweza kumuita nani na nani kwenye makati ama hawaruhusiwi kumuita mtu yoyote asie mbunge kwenye kamati.

Sasa kumwambia Ndugai asome kifungu gani inatusaidia nini sisi tusieolewa sheria?
Naona wewe ndiye Ndugai
 
Jifunze zaidi, ongeza maarifa zaidi.

Kanuni za bunge zinampa spika mamlaka ya kumuita mtu yoyote kwenye kamati na ukigoma kwenda unapelekwa kwa pingu.

Kabla hujabisha kitu ujitahidi kua ana angalau taairfa chache, usibishe tu uonekane unabisha ndio maana unaonekana kondoo ama nyumbu.
Kuliko kuwashambulia tu wadau, si uweke hiyo/hizo kanuni zinazompa Spika hayo mamlaka ya kumuita mbele ya kamati mtu yeyote!! Maana naona mazungumzo matupu tu
 
Back
Top Bottom