kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Ndotukasema bnge la dugai ni dhaifu sana... Haya wakiniita nkawaambia naliona dhaifu watanifanyeje? Tuvitisho twa kitoto au twa wafupi kawatoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kusoma na kuelewa.Paschal Mayala aliwahi kuitwa kwenye kamati kwani alikua Mbunge?
CAG aliwahi kuitwa kwenye kamati, kwani yeye alikua mbunge?
Fatuma aache kujibu hoja kimipasho, ajibu kama mtaalamu wa sheria, je kisheria bunge linaweza kumuita nani na nani kwenye makati ama hawaruhusiwi kumuita mtu yoyote asie mbunge kwenye kamati.
Sasa kumwambia Ndugai asome kifungu gani inatusaidia nini sisi tusieolewa sheria?
Sawa mtaalamu.Mashabiki na wafuasi mataga mna matatizo Sana, bado mnaishi ktk ulimwengu wa zidumu fikira za mwenyekiti wa CCM. Ukisoma hiyo Cap 2.1 imeanza na ufafanuzi mzuri Tu.
Mkuu siyo za kibabe.Ni za "kibwege"!😝😝😝😝😝Jifunze kusoma na kuelewa.
Hoja hapa ni katiba kwanza sio kanuni za bunge. Spika anapaswa kuacha mara moja utaratibu wa kuwatisha watu wasizungumke kwa uhuru kisa atawaita kwenye kamati ili wahukumiwe. Kanuni za bunge zinawahusu wabunge na watendaji wa ndani ya bunge na sio kanuni za kumhusu yoyote, huku mtaani pia tuna taratibu zetu.
Kama kuna mtu ataitwa kwenda kujieleza kwenye kamati za bunge, basi hilo lifanyike kwa misingi ya katiba na sio blah blah za kibabe za spika.
Hivi unajua kusoma vizuri kweli?Jifunze kusoma na kuelewa.
Hoja hapa ni katiba kwanza sio kanuni za bunge. Spika anapaswa kuacha mara moja utaratibu wa kuwatisha watu wasizungumke kwa uhuru kisa atawaita kwenye kamati ili wahukumiwe. Kanuni za bunge zinawahusu wabunge na watendaji wa ndani ya bunge na sio kanuni za kumhusu yoyote, huku mtaani pia tuna taratibu zetu.
Kama kuna mtu ataitwa kwenda kujieleza kwenye kamati za bunge, basi hilo lifanyike kwa misingi ya katiba na sio blah blah za kibabe za spika.
Zama zimebadilika tuna utawala ambao unazingatia sheria, ndo maana unaona mliowaita wahujum uchumi wanafutiwa mashitaka, waliofungiwa account zinafinguliwa, Ndugai akishangaa maduka ya fedha kigeni kufungwa huku akitoa mfano alivoenda CHAN Misri. Akishauri serikali iwaache wananchi wajimwambefai ktk nchi Yao. Jifunze kusoma alama za Nyakati. Nikuulize CAG alivoitwa alisamaje kabla ya kwenda? Na baada ya kwenda nini kilifanyika?Sawa mtaalamu.
Labda mimi sijui kusoma. Hebu niambie hiyo cap 2.1 inasema nani ataitwa kwenye kamati na nani hataikwa kwenye kamati?
Nimekupa mfano, CAG Bw. Assad aliitwa kwenye kamati, mwandishi Paschal Mayala aliitwa kwenye kamati, je bunge lilivunja sheria ipi kuwaita hao wasio wabunge kwenye kamati?
Naweza kua kweli naishi kwenye karne ya zidumu fikra za mwenyekiti lakini nataka wewe pia upanue akili yako, uwe na reasoning mind, usipelekwe pelekwe kama ling'ombe. Akisema tu Fatuma basi wewe kwako ni final and conclusive.
Naunga mkono hoja,tena NDUGAI hatukome"Swali kwa Job:
Kwani wanahabari ni wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge?
Ushauri wangu ni:
Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na si NCHI. Hazituhusu sisi. Si SHERIA za Nchi.
Bunge si Mahakama. Halina MAMLAKA la kumuhukumu mtu yeyote. Job anataka kuingilia MAMLAKA ya Mahakama. Kama wanahabari wamevunja SHERIA awapeleka Mahakamani. Kanuni za Maadili za Bunge hawezi kuzitumia kuwahukumu wanahabari. Bunge si MAHAKAMA!"
Wakili msomi Fatma Karume
View attachment 1829916
Ndugai sijui anavuta kitu cha wapi"Swali kwa Job:

Kipind Cha dikteta unafikiri wangeweza kukaidi??? "I wish I could 😜be IGP" hayo maneno aliambiwa Sirro Kama unakumbuka baada ya kutowavunja miguu wafuasi wa Gwajima walioenda Central Police kumuona mtumishi waoPaschal Mayala aliwahi kuitwa kwenye kamati kwani alikua Mbunge?
CAG aliwahi kuitwa kwenye kamati, kwani yeye alikua mbunge?
Fatuma aache kujibu hoja kimipasho, ajibu kama mtaalamu wa sheria, je kisheria bunge linaweza kumuita nani na nani kwenye makati ama hawaruhusiwi kumuita mtu yoyote asie mbunge kwenye kamati.
Sasa kumwambia Ndugai asome kifungu gani inatusaidia nini sisi tusieolewa sheria?
"Swali kwa Job:
Kwani wanahabari ni wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge?
Ushauri wangu ni:
Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na si NCHI. Hazituhusu sisi. Si SHERIA za Nchi.
Bunge si Mahakama. Halina MAMLAKA la kumuhukumu mtu yeyote. Job anataka kuingilia MAMLAKA ya Mahakama. Kama wanahabari wamevunja SHERIA awapeleka Mahakamani. Kanuni za Maadili za Bunge hawezi kuzitumia kuwahukumu wanahabari. Bunge si MAHAKAMA!"
Wakili msomi Fatma Karume
View attachment 1829916
Kamati ikikukuta na hatia inapeleka mapendekezo kwa mamlaka yako ikuwajibishe.Kamati ya maadili inaweza kumhukumu mtu asiyekuwa mbunge kwa lolote?
Majibu tafadhali kwako wewe ambaye si kondoo.
Kamati ikikukuta na hatia inapeleka mapendekezo kwa mamlaka yako ikuwajibishe.
Kama ni mtumishi wa umma, wataitaka serikali ikuchukulie hatua.
Sio kila swali linahitaji majibu, swali linaweza kua flawed lisilo na maana hivyo halina maana ya kujibiwa.Umeanza kuruka ruka kama bisi. Swali la msingi liko wazi. Tafadhali jiridhishe kama umelijibu:
"Kamati ya maadili inaweza kumhukumu mtu asiyekuwa mbunge kwa lolote?"
Majibu tafadhali kwako wewe uliyesema si kondoo.
Jifunze zaidi, ongeza maarifa zaidi.Wee bwege uliitwa lini mara ya mwisho bungeni nyambafu wewe. Watumishi waserikali huitwa kujibu tuhuma zinajitokeza kutokana na ripoti zilizowakilishwa na kamati mbalimbali.
Mwandishi WA habari WA chombo binafsi unamwita bungeni kwenda kufanya nini?
Kama ametoa taarifa ambazo si sahihi kuna vyombo husika na si bunge.
Sio kila swali linahitaji majibu, swali linaweza kua flawed lisilo na maana hivyo halina maana ya kujibiwa.
Swali lako liko flawed, halina maana yoyote. Jaribu kuuliza maswali yenye maana nitakujibu, nitakugawia akili kupitia majibu yangu.
BUNGE lamuita GENTAMYCINE kumuhoji juu ya taarifa yake kuwa Bwana Jobo ana uvimbe kwenye utosi.Wee bwege uliitwa lini mara ya mwisho bungeni nyambafu wewe. Watumishi waserikali huitwa kujibu tuhuma zinajitokeza kutokana na ripoti zilizowakilishwa na kamati mbalimbali.
Mwandishi WA habari WA chombo binafsi unamwita bungeni kwenda kufanya nini?
Kama ametoa taarifa ambazo si sahihi kuna vyombo husika na si bunge.
Taarifa:Umeanza kuruka ruka kama bisi. Swali la msingi liko wazi. Tafadhali jiridhishe kama umelijibu:
"Kamati ya maadili inaweza kumhukumu mtu asiyekuwa mbunge kwa lolote?"
Majibu tafadhali kwako wewe uliyesema si kondoo.
Kamati ikikukuta na hatia inapeleka mapendekezo kwa mamlaka yako ikuwajibishe.
Kama ni mtumishi wa umma, wataitaka serikali ikuchukulie hatua.
View attachment 1830226