Fatuma Karume: Mwambieni Ndugai Kanuni za Bunge si Sheria za Nchi, hazituhusu sisi

Jifunze kusoma na kuelewa.
Hoja hapa ni katiba kwanza sio kanuni za bunge. Spika anapaswa kuacha mara moja utaratibu wa kuwatisha watu wasizungumke kwa uhuru kisa atawaita kwenye kamati ili wahukumiwe. Kanuni za bunge zinawahusu wabunge na watendaji wa ndani ya bunge na sio kanuni za kumhusu yoyote, huku mtaani pia tuna taratibu zetu.

Kama kuna mtu ataitwa kwenda kujieleza kwenye kamati za bunge, basi hilo lifanyike kwa misingi ya katiba na sio blah blah za kibabe za spika.
 
Mashabiki na wafuasi mataga mna matatizo Sana, bado mnaishi ktk ulimwengu wa zidumu fikira za mwenyekiti wa CCM. Ukisoma hiyo Cap 2.1 imeanza na ufafanuzi mzuri Tu.
Sawa mtaalamu.

Labda mimi sijui kusoma. Hebu niambie hiyo cap 2.1 inasema nani ataitwa kwenye kamati na nani hataikwa kwenye kamati?

Nimekupa mfano, CAG Bw. Assad aliitwa kwenye kamati, mwandishi Paschal Mayala aliitwa kwenye kamati, je bunge lilivunja sheria ipi kuwaita hao wasio wabunge kwenye kamati?

Naweza kua kweli naishi kwenye karne ya zidumu fikra za mwenyekiti lakini nataka wewe pia upanue akili yako, uwe na reasoning mind, usipelekwe pelekwe kama ling'ombe. Akisema tu Fatuma basi wewe kwako ni final and conclusive.
 
Mkuu siyo za kibabe.Ni za "kibwege"!😝😝😝😝😝
 
Hivi unajua kusoma vizuri kweli?

Hebu rudia ulichokiandika uone kama kina maana yoyote.

Wewe huyo huyo unasema kanuni za bunge zinahusu wabunge tu halafu wewe huyo huyo unasema mtu akiitwa kwenye kamati ifuatwe katiba, katiba ipi hiyo?

Hiyo kanuni zenu za mtaani zinahusu nini?
 
Zama zimebadilika tuna utawala ambao unazingatia sheria, ndo maana unaona mliowaita wahujum uchumi wanafutiwa mashitaka, waliofungiwa account zinafinguliwa, Ndugai akishangaa maduka ya fedha kigeni kufungwa huku akitoa mfano alivoenda CHAN Misri. Akishauri serikali iwaache wananchi wajimwambefai ktk nchi Yao. Jifunze kusoma alama za Nyakati. Nikuulize CAG alivoitwa alisamaje kabla ya kwenda? Na baada ya kwenda nini kilifanyika?
 
Naunga mkono hoja,tena NDUGAI hatukome
 
Ndugai sijui anavuta kitu cha wapi
 
Kipind Cha dikteta unafikiri wangeweza kukaidi??? "I wish I could 😜be IGP" hayo maneno aliambiwa Sirro Kama unakumbuka baada ya kutowavunja miguu wafuasi wa Gwajima walioenda Central Police kumuona mtumishi wao
 
Zama za kujimwambafy zilikwenda zake. Jobo na aisikie hiyo.

Hii nchi ilikuwa imechezewa sana.

Ndiyo maana hatukuwa na raha. Shukurani Mola wetu kwa kutuona.
 
Kamati ya maadili inaweza kumhukumu mtu asiyekuwa mbunge kwa lolote?

Majibu tafadhali kwako wewe ambaye si kondoo.
Kamati ikikukuta na hatia inapeleka mapendekezo kwa mamlaka yako ikuwajibishe.

Kama ni mtumishi wa umma, wataitaka serikali ikuchukulie hatua.
 
Kamati ikikukuta na hatia inapeleka mapendekezo kwa mamlaka yako ikuwajibishe.

Kama ni mtumishi wa umma, wataitaka serikali ikuchukulie hatua.

Umeanza kuruka ruka kama bisi. Swali la msingi liko wazi. Tafadhali jiridhishe kama umelijibu:

"Kamati ya maadili inaweza kumhukumu mtu asiyekuwa mbunge kwa lolote?"

Majibu tafadhali kwako wewe uliyesema si kondoo.
 
Sio kila swali linahitaji majibu, swali linaweza kua flawed lisilo na maana hivyo halina maana ya kujibiwa.

Swali lako liko flawed, halina maana yoyote. Jaribu kuuliza maswali yenye maana nitakujibu, nitakugawia akili kupitia majibu yangu.
 
Jifunze zaidi, ongeza maarifa zaidi.

Kanuni za bunge zinampa spika mamlaka ya kumuita mtu yoyote kwenye kamati na ukigoma kwenda unapelekwa kwa pingu.

Kabla hujabisha kitu ujitahidi kua ana angalau taairfa chache, usibishe tu uonekane unabisha ndio maana unaonekana kondoo ama nyumbu.
 
Sio kila swali linahitaji majibu, swali linaweza kua flawed lisilo na maana hivyo halina maana ya kujibiwa.

Swali lako liko flawed, halina maana yoyote. Jaribu kuuliza maswali yenye maana nitakujibu, nitakugawia akili kupitia majibu yangu.

Mwingine alisema swali linaweza kuwa gumu kwa anayeulizwa. Anayeulizwa akaamua kulikimbia hata kwa miguu tu.

Msalimie Jobo Dodoma umwambie hatutishi!

Habari ndiyo hiyo.
 
BUNGE lamuita GENTAMYCINE kumuhoji juu ya taarifa yake kuwa Bwana Jobo ana uvimbe kwenye utosi.
 
Umeanza kuruka ruka kama bisi. Swali la msingi liko wazi. Tafadhali jiridhishe kama umelijibu:

"Kamati ya maadili inaweza kumhukumu mtu asiyekuwa mbunge kwa lolote?"

Majibu tafadhali kwako wewe uliyesema si kondoo.
Taarifa:
Kamati ya Maadili ya bunge imemuhukumu bwana Pascal Mayalla kifungo cha miaka miwili jela na viboko 6 au Faini ya Tshs laki moja kutokana na kuandika makala ya kichochezi. Pia imemuagiza muajiri wake Kampuni ya Gulshan Solanki Patel Ltd kumsimamisha kazi
 
Nchi inapata tabu hii,haya yote ni udhaifu wa CCM,tukimalizana na hili bafo tunabaki na lile,kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…