Fatuma Karume: Mwambieni Ndugai Kanuni za Bunge si Sheria za Nchi, hazituhusu sisi

Yeye akikosea ni kamati ipi anahusika.
 

Wewe ni mpumbavu, sio mjinga! Kwa makusudi umeonesha kana kwama Fatma kashauri tu Spika kusoma kifungu husika. Umeacha kwa makusudi maneno “Bunge sio mahakama”. Ameshauri tena kuwa kama kuna kosa limetendwa, mahakama ndio wa kushughulika na hilo.

Ujinga wako uko sehemu hii. Unajua kabisa Paschal na CAG waliitwa kwa kusema “Bunge” ni dhaifu. Hizi zilikuwa ni shutuma ambazo kama mtu yeyote anaweza kuongea na mshutumu wake kabla hajaenda kushitaki. Swala la Spika sasa hivi si lawama dhidi ya Bunge. Ni la Spika kushutumu kuwa vyombo vya habari vimedanganya. Je uongo wa vyombo vya habari hauna sheria husika?? Magazeti hayakushutumu kuwa Bunge limeorodhesha malipo kwa Lissu. Nilitegemea Serikali iliyotoa majina ndio ishitaki kwa jambo hili. Hatutakuwa na Bunge linalokuwa na shutuma kwa watu ili kunyamazisha umma. Kama sheria imevunjwa, taratibu zifuate. Ukiwa unafuata Bunge la Marekani kufanya jambo kama hili unakosea, kule kila anayeitwa na Bunge anatengenezewa sheria ya kumwita kwanza na mwitwa anaweza kupinga katika mahakama kuhojiwa na Bunge.

Toa jina hilo Hakimu Mfawidhi, haliakishi umaamuma wako katika sheria na taratibu. Hatuwezi kuwa na Bunge lisilokuwa na mipaka huku likiacha majukumu yake bila kushughulikiwa.
 
Huyo fatma nae mnafiki mbona kipindi wanaitwa CAG mstaafu na Pascal mayalla hakulisema hilo saizi ndo anakumbuka kwamba kanuni za bunge sio sheria za nchi.
 
HIYO KAMATI KAMA NI KUITA HATA BASHITE ILIMUITA, WAKAANZA KUTEGEMEA HURUMA YA MWENDAZAKE.
BASHITE AKAWAPA ZA USO, BAADA YA HAPO WALIMFANYA NINI?
 

Taarifa nimeipokea mkuu. Nisiache kumfikishia hukumu hii Hakimu Mfawidhi wa mahakama ya pale utopoloni kwa minajili ya kuikazia.
 

Au huyu ndo yule alyekuwa RM wa Kisutu Revenue Authority.. Ras Simba
 
Mtu aliyetumia nilioni 700 kutibu fangas atakuwaje na akili,cheo ni dhamana utakufa au utakiacha ukiwa hai .sisi huku tutachinja mbuzi na kunywa ulanzi kushangilia
 
Wewe huna akili kabisa. Bora hata wenzako walikua wanabwabwaja ila wewe umekuja kutoa uharo.

Ukitoa tuhuma za uongo dhidi ya bunge, kudhalilisha bunge ama kuzarau mamlaka ya bunge, bunge lina mamlaka ya kukuita na kukuhoji. Hilo liko wazi wala huhitaji jua ana akili kubwa kujua hilo, hata mataahira kama wewe wengi wanajua hilo bahati mbaya wewe hujataka hata kutumia akili kidogo uliyonayo kuwaza.

Kufananisha bunge la Marekani na Bunge la Tanzania hapo ndio uzezeta wako unapojidhihirisha wazi.

Hilo linanipa sababu kuacha kujadiliana na wewe ama kukujibu tena kwani wewe huna akili ya kuweza kuelewa nachokiandika.
 
Mkuu malizia kuwa wakishakuhoji na wakaona una makosa inakuwaje?
Kama ya Paul Makonda
Au Pascal Mayala
au Didas Masaburi
 
Huyo anajiita hakimu mi namwona mburula na mwimba mapambio Lumumba, ajufunze Kwa wanzake maana angalau akili zinaanza kuwarudia wanapoona wapinzani waliowaita nyumbu wanateuliwa kukamata nafasi ambazo kimsingi walipaswa kupewa wao ambao ni waimba mapambio Lumumba
 
Sasa kama unakiri mwenyewe kwamba hujui sheria sasa unabisha nini. Nani asiyefahamu kwamba kuna vidonge huyo Ndugai anatumia ambavyo vinaathiri uwezo wake wa kung'amua mambo.
 
Usingeshangaa akipelekewa mapolisi wenye silaha.

Wakati huo iliwezekana, sasa hivi haiwezekani.
... ingetumwa helikopta ya polisi kabisa kumbeba chini ya ulinzi mkali maana ni mtu hatari sana kwa usalama wa nchi! Halafu viongozi wote wa dini kimya; kana kwamba hakuna haki za wananchi zinazovunjwa! Sisi wananchi kimya, kwa sababu nyumbu anayeliwa na simba pale sio mimi!

Wanazuoni kimya! Kwa sababu mishahara na posho zangu zinaingia yanihusu nini hayo? Professional associations kimya! Watajua wenyewe! Machinga kimya! Tumeruhusiwa kufanyia kazi zote popote; uishi milele ee mfalme; wahuni tu hao piga risasi!
 
CAG aliitwa Kwenye kamati kwa sababu ya Ripoti aliyoipeleka Bungeni so automatically lazima aende.
 
Waliitwa na kutii wito sababu ya kumuogopa mwendazake.
Lakini kwa sasa haiwezekani,Kama huiamini mwambie Ndugai ajalibu kuwaita sasa,
Labda awaite wamiliki wa FB au Tweeter
 
Sasa kama unakiri mwenyewe kwamba hujui sheria sasa unabisha nini. Nani asiyefahamu kwamba kuna vidonge huyo Ndugai anatumia ambavyo vinaathiri uwezo wake wa kung'amua mambo.

Mbona anatumia Antibiotics mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…