Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

Zanzibar = 4,000,000/60,000,000 = 0.0333 = 3.3%. Nadhani ni sahihi wao kupata 4% ya misaada na mikopo, lakini mikopo ni lazima walipie kwa kiasi hichohicho cha 4%.
Zanzibar population yao haiwez kufika 4mil
 
UNA HOJA NZITO

Hili ni agano zito sana..... jiulize nini kiliwaongoza kutumia udongo?

Kwani wangekaa mezani wakaandika na kutia saini isingetosha?

Tena haikutosha udongo peke yake.... udongo kwenye vibuyu na kumimina kwenye chungu🤔

Sijui wakati wanauchanganya waliunenea nini na baada ya hapo waliupeleka wapi na kile chungu na zile vibuyu ila naamini kipo walicholiombea taifa hili katika hilo agano na Mungu alisikia na kubariki
 
Waachieni nchi yao, mbona mnaing'ang'ania??
Kwani wameshalipa umeme wa Tanesco unaoenda huko? Kama vp kila mtu abaki kwake tu....yaani kimkoa tu kipewe asilimia 4%.....??
 
Kwanza kana watoto kweli, na hao watoti baba yao ni nani?
Maana naona anakomaa tu lakini familia yake haijulikani
 
Pesa na gharama zilizotumika kumpa Madaraka Baba yake mwaka 2000 kwa kumpora ushindi Dr Gharib Bilal ndani ya chama na baadae kuporwa Maalim Seif nje ya chama
Baadae bara tukapeleka Dozens za Askari kumlinda hadi wakafa watu wengi wameshatulipa?

Znz watu wameuawa wakati wa Utawala wa Baba na Babu yake tu
 
Tuwaachie zenji tuvitongoji twao kwani shida nini?

Binafsi mpka sasa sjaona faida ya huu muungano.


Huu muungano mm nauona kama commensalism relationship.
 
Wakate kwenye hayo matrilion chenji yao wapewe... kwanini Zanzibar wanalazimishwa kutumia umeme wa Tanesco badala ya kuwa na umeme wao? Je huo umeme wa Tanesco uko Pemba na Kojani?
Kabla ya Tanesco walikuwa wanatumia umeme wa mafuta/generator ambao ni gharama mno
 
Iweke Referendum kama wanautaka muungano.
 
Acheni kujibaraguza sasa
 
Kabla ya Tanesco walikuwa wanatumia umeme wa mafuta/generator ambao ni gharama mno
Kwa taarifa yako Zanzibar ipo mbioni kuwekeza offshore wind turbines. Teknologia rafiki kwa mazingira na bei nafuu. Siku siyo nyingi Zanzibar itauza nishati ya umeme Tanganyika kupitia marine cable- reversal of fortunes. "The times they are a changin"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…