Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

Usalama gani ?hii hoja ni dhaifu sanaaaaaaa ukweli ni kwamba Zanzibar inahitajika sana katika muungano ndio maana Mwalimu Nyerere alikuwa tayari Kuzika nchi yake ya Tanganyika kwa ajili ya muungano
Nani aliyeanza kuuomba huo muungano?,karume ndie alikuja usiku wa mansne kwa mashua kuja kuomba msaada KWE nyerere akiwa ameogopa kupinduliwa na akina prof babu,nyerere akamwanbia sina msaada zaidi ya kkuingiza ndani ya nchi yangu,tuungane,hawatakupindua, tafuta andiko la Frank karros aliekuwa balozi na jasusi wa C,I,A,miaka ya 60,
 
Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo

Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano

My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu

USSRView attachment 1768148
Hivi wewe uliyeleta hii mada unatumiwa nini?Hivi niamini kwamba hujui athari zake kwenye mustakabali mzima wa muungano wetu na kwamba repercussions zake ni very far reaching.Jamani muwe reasonable,leteni mada ambazo zitajenga muungano,sio kuubomoa.

Halafu na weweee..... sio kila unachosikia ni taarifa,uwe na makapu mawili,zingine ni taarifa mbaya.
Kwani wewe hujui kwamba haka
kamama kanatumiwa?
 
Kwani wameshalipa umeme wa Tanesco unaoenda huko? Kama vp kila mtu abaki kwake tu....yaani kimkoa tu kipewe asilimia 4%.....??
Sasa inapofikia kila misaada ya wahisani inaishia bara wao hawapati,unategemea nini?,kama sheria ilibainisha hivyo wapewe,,kuendelea kwa zanzibar ni kuendelea kwa Tz,,ikiwa kama hongkong faida itatiririika hadi bara,,
 
Meko alishindwa na chuki zake zote zile, hakuna wakumfanya kitu, na bahati nzuri huwa hatukani, labda kama kosa lake huwa ni kusema ukweli, kutokana na uana harakati wake!!zama zile za kutishana zimekwisha jamani, kubalini tu matokeo.
Wewe na meku tuuu!!?,hivi alishaga kushikisha ukuta akapiga mzigo,halafu akasepa? ,mbona unachuki sana na meku?
 
Tunahitaji kuwa na serikali moja kuondoa haya malumbano
Serikali moja haitawezekana, ila serikali tatu itawezekanana itamaliza kabisa hizi bla bla. Serikali ya Tanganyika ama Tanzania Bara
 
Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo

Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano

My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu

USSRView attachment 1768148
Muungano haujali feza, uchumi wa pande 2 hizi ni tofauti sana lazima pawe na maelewano ya namna ya kugawana mikopo na kurejesha, na pale upande mmoja unapoelemewa ni lazima upade mwingine usaidie, Zanzibar harakisheni uchimbaji wa Mafuta haraka, kwani Mafuta yanaweza kushuka bei sana huko mbele na ikwa ni hasara.
 
Fatma Karume kwenye hili kapotoshwa na Zitto. Na yeye inaelekea uzalendo unamshinda anaegemea zaidi asili yake. Hata spidi ya kukosoa uongozi imepungua sana toka tupate Rais mpya.

Amandla...
 
Je shangazi atarudishwa IMMMA ? Leseno yake itarudishwa pia ? Muda mwalim mzuri
 
Fatma Karume kwenye hili kapotoshwa na Zitto. Na yeye inaelekea uzalendo unamshinda anaegemea zaidi asili yake. Hata spidi ya kukosoa uongozi imepungua sana toka tupate Rais mpya.

Amandla...
Huwezi kuwa unakosoa tu kama mbuzi,,vyakukosoleka unakosoa[emoji16][emoji16]
 
Kwa taarifa yako Zanzibar ipo mbioni kuwekeza offshore wind turbines. Teknologia rafiki kwa mazingira na bei nafuu. Siku siyo nyingi Zanzibar itauza nishati ya umeme Tanganyika kupitia marine cable- reversal of fortunes. "The times they are a changin"
Hizi story ndio zinazowadanganya na kujiona mnaweza. Mtamuuzia nani wakati Bwawa huku linajengwa?
 
Ifanyike public referendum ili wananchi wa Zanzibar na Tanganyika waamue:
1. Kama wanautaka muungano.
2. Muungano wa serikali 1, 2, au tatu.
Bila hivyo kero hazitaisha na wenye mfumo (nchi) wataendelea kula tu.
 
Huwezi kuwa unakosoa tu kama mbuzi,,vyakukosoleka unakosoa[emoji16][emoji16]
Uadilifu wako unaingia dosari unapoacha kukosoa kwa sababu ndugu yako ameshika nafasi. Watu watajiuliza kulikoni?

Ni kama vile wakosoaji wakubwa wa serikali ya JK walivyopata kigugumizi alipoingia mmisheni mwenzao na kwa baadhi anaetoka wanakotoka. Walilaumiwa sana na baadhi wamepoteza kabisa credibility yao.

Fatma Karume anatakiwa tu kuwa mwangalifu zaidi ili credibility yake isipungue.

Kila kitu kinakosoleka.

Amandla...
 
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu

USSR

Munashindwaje kuzitumia hizo nguvu mpaka leo?
 
Huu muungano ni kama wa kulazimishana lazimishana vile, body language ya wanzabari wakiwa peke yao ni kama hawautaki ...ila wakija kwenye vikao huku bara sijui nini huwapata !!
 
Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo

Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano

My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu

USSRView attachment 1768148

Hii mada ingekuwa na maana na tija kama Fatuma Karume angekuwa msemaji wa SMZ.
 
Mkikubali kugawana mkopo na deni mutalipa nyote, Lakini kuwataka na wao walipe deni wakati mkopo kila siku munakula pekeenu huo si uungwana.
Sawa kabisa. Ndio maana kabla ya madai haya wangefanya tathmini ya mchango wao katika kulipa madeni na kuendesha serikali ya JMT. Aidha, misaada wanayopokea kutoka JMT ( inasemekana kuna wakati serikali ya JMT inatoa pesa za kusaidia kulipa mishahara ya SMZ), madeni wanayodaiwa na taasisi mbalimbali za serikali ya JMT ( pamoja na waliyo samehewa). Kukimbilia tu kupiga hesabu za kile wanachoona ni stahiki na kupiga kelele kuwa wanadhulumiwa sio vizuri.

Amandla...
 
Kwa nini uwachukie wazanzibar ukisha anza kuwatenga hao jua kesho mtaanza kutengana hata mikoa yenu mtakuja makabila,koo mpaka familia acheni mambo hayo tuna dakika tisini tuu za kuishi tengenezeni maisha yenye furaha ninyi mpaka uzao wenu sio chuki chuki tuu kila kukicha namshukuru Mungu mimi hilo tege mimi sina hata watu wangu wa karibu nawajenga waondokane na fikra za chuki za kibaguzi...
 
Back
Top Bottom