Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.
Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele?
Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!
Sativa alimtaja yeye kama moja ya waliohusika kwenye utekaji wake.... amewakosha kwa utendaji mpaka wameona aje kutuliza midomo wakati tunaeleka kwenye uchaguzi mkuu?
Pia soma: Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa