Hata wakati wa ukoloni wale maaskari wa kikoloni walipotumwa na wakubwa wao kuua,kutesa na kuwafunga waafrika magavana wa kikoloni waliwapandisha vyeo hao maaskari ndio tunaona hata leo jeshi hili ambalo bado Lina Sheria zilezile za kikoloni linaendelea kupongezwa kwa kuua,kutesa,kujeruhi kama vilevile wakati wa ukoloni.Najua mwisho wa haya yote unakuja watanzania wasihofu.kama kwa sasa wanaotekwa ni wanyonge siku inakuja ambayo hali ya unyonge itaisha na wanaotesa na kutekwa wenzao na kuwaua itakuwa zamu yao Malipo ni hapa hapa duniani siku za MUNGU MWENYEZI hazigandi.Wakuu,
Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.
Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele?
Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!
Sativa alimtaja yeye kama moja ya waliohusika kwenye utekaji wake.... amewakosha kwa utendaji mpaka wameona aje kutuliza midomo wakati tunaeleka kwenye uchaguzi mkuu?
Pia soma: Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
Alitaka hata kama Murilo yuko likizo aendelee kuripoti matukio! Hizi shule za siku hizi kazi kweli kweli! Ukute mwamba ni graduate kabisa halafu hajui maana ya kukaimu!Sina hakika kama mtoa post anajua maana ya "kukaimu". Naomba apewe elimu bila shuruti!
Kwenda hukoWanaomjua Kamanda Faustine Mafwele wanakuambia kuwa ni mtu mkarimu sana ...
Huyu bwana ni mzalendo mno ,analipenda sana taifa hili....ni mtu mwepesi kusaidia wenye shida mbalimbali....
Picha anayotengenezewa ni tofauti na uhalisia......wapiga domo mitandaoni wamejaa ujinga mwingi sanaaaa.....
Kikwete kaweka wazi.Sina hakika kama mtoa post anajua maana ya "kukaimu". Naomba apewe elimu bila shuruti!
🥺Sina hakika kama mtoa post anajua maana ya "kukaimu". Naomba apewe elimu bila shuruti!