Tetesi: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?

Tetesi: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?

....karibu huku Handeni ,mama Samia anaiendeleza....jamani mama apendwa huyuuu.....
Mama asemi tu anafanya matendo mkuu Mungu amlinde naangalia channel ten imebidi niagize

Drockoff gafla kwa furaahaa

Allah amrydishe salama dar
 
Mama asemi tu anafanya matendo mkuu Mungu amlinde naangalia channel ten imebidi niagize

Drockoff gafla kwa furaahaa

Allah amrydishe salama dar
Aaaaamin aaaaamin !
Hakika mkuu wangu....mh.Rais Samia ni mama wa vitendo....

#Taifa kwanza kwa njia yoyote iwayo !!
 
Hana adabu yule mshenzi maneno kama Yale HATA kama huna mbegu za uzazi uwezi weka mtandaoni

Ningemwina sativa ningechapa kabla ya kupeleka kawe akaombewe kwa Mwamposa dk
....kiburi ,mkaidi ,mjinga ,MSHAMBA MCHANGAMFU.....
 
YAAN
Tumwombeee kilaaaa iitwapo leoo

Mama ajawahi kushindwaaaaaa

Godbless you mom
Amen amen aaaamen !!

ADONAI MKUU ashuhudie hayo ,amen!

Yehova Shama ashuhudie hayo ,amen !

Aaamin rabbil aaalaamiiin ,amen!
 
Profesa Ibrahim Juma alikaimu kwasababu tayari Jaji Mkuu aliyemtangulia alikuwa ameshastaafu rasmi hivyo mchakato wa kumtafuta JM mpya ulikuwa mezani.

Je, Muliro amestaafu rasmi? Maana kustaafu sio suala la siri lazima umma ungejulishwa tu.
Ungejua utaratibu wa Kustaafu Jeshi ulivyo wala usingepata taabu

Ukiona Afisa Kutoka Ofisi ya DCI ameanza kutinga sare ujue tu 😃
 
Wakuu,

Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.

Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele?

Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!

Sativa alimtaja yeye kama moja ya waliohusika kwenye utekaji wake.... amewakosha kwa utendaji mpaka wameona aje kutuliza midomo wakati tunaeleka kwenye uchaguzi mkuu?

Pia soma: Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
Huyu ndiye aliyewaua Soka na wenzake, sura yake ya kiuaji kabisa
 
Wakuu,

Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.

Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele?

Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!

Sativa alimtaja yeye kama moja ya waliohusika kwenye utekaji wake.... amewakosha kwa utendaji mpaka wameona aje kutuliza midomo wakati tunaeleka kwenye uchaguzi mkuu?

Pia soma: Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa

Huyu Mtu tuhuma zake ni nzito sana' huko Ndani ya Jeshi la Polisi, anapaswa kustaafishwa kwa maslahi mapana zaidi ya umma. Hafai hata kidogo kuendelea kuwa Mtumishi wa Umma au kuendelea kuwa Askari Polisi wa Serikali. Hafai!
 
ww mleta mada kilaza..inamaana hujui maana ya kukaimu au ww unaelewa vp..kukaimu si kwamba mwenye ofisi hayupo kwa muda labda muliro yupo likizo au anaumwa basi anakaimisha madaraka ili kazi lazima ziendelee ofisini..isitoshe huyo mafwele ndio mkuu wa upelezi mkoa hio kesi ya hao matapeli inamuhusu..mtoa mada punguza hofu uko salama.
Wabongo wabinafsi sana! Kwanini usimueleweshe tu maana ya kukaimu? Ukaamua kumsimanga! Attack hoja na si mleta hoja.
 
Wanaomjua Kamanda Faustine Mafwele wanakuambia kuwa ni mtu mkarimu sana ...

Huyu bwana ni mzalendo mno ,analipenda sana taifa hili....ni mtu mwepesi kusaidia wenye shida mbalimbali....

Picha anayotengenezewa ni tofauti na uhalisia......wapiga domo mitandaoni wamejaa ujinga mwingi sanaaaa.....
Mkarimu na Mnyenyekevu?
Tangu lini uhalifu wa kuua Watu wengine imekuwa ni Ukarimu au unyenyekevu??

Kimsingi ukizingatia maadili ya Taasisi yoyote ile ya Umma yenye hadhi ya kuitwa Jeshi, Mtu huyo Kamwe hapaswi kuwa Mtumishi katika Taasisi ya namna hiyo.
IGP alipaswa amstaafishe huyu Askari Polisi ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma na ili kuweza kulinda hadhi ya hiyo Taasisi ya Mapolisi.

Je, unawakumbuka wale Majaji wawili wa Mahakama Kuu ambao Waliandika barua za kustaafu kazi ya Ujaji wakati ule wa Utawala wa Rais Magufuli? Unafikiri Majaji hao waliamua wenyewe kwa hiyari yao kufanya hivyo??
Ukweli mchungu ni kwamba huyo Faustini Mafwele amepoteza kabisa sifa za kuendelea kuwa Askari Polisi.
 
Mkarimu na Mnyenyekevu?
Tangu lini uhalifu wa kuua Watu wengine imekuwa ni Ukarimu au unyenyekevu??

Kimsingi ukizingatia maadili ya Taasisi yoyote ile ya Umma yenye hadhi ya kuitwa Jeshi, Mtu huyo Kamwe hapaswi kuwa Mtumishi katika Taasisi ya namna hiyo.
IGP alipaswa amstaafishe huyu Askari Polisi ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma na ili kuweza kulinda hadhi ya hiyo Taasisi ya Mapolisi.
Acha ujinga jomba....unapelekwa kijinga na akina Sativa ?!! Khaaa

Huyo kamanda kamuua nani ?!!
 
Acha ujinga jomba....unapelekwa kijinga na akina Sativa ?!! Khaaa

Huyo kamanda kamuua nani ?!!
We have the 'black files' of that person.

Huyo Mtu ameanza kulalamikiwa tangu zamani Sana huko miaka ya nyuma.

Usifikiri kwamba Watu wameanza kumchimba mtu huyu tangu hivi siku za karibu.
 
We have the 'black files' of that person.

Huyo Mtu ameanza kulalamikiwa tangu zamani Sana huko miaka ya nyuma.

Usifikiri kwamba Watu wameanza kumchimba mtu huyu tangu hivi siku za karibu.
Yeyote anaweza kutuhumiwa lolote na yeyote....haitoshi wewe kusema mna "black files" tu....

BTW kwa wanaomjua vyema kamanda Mafwele wanakushangaa jinsi mnavyomchafua kijinga.....

Mafwele ni kamanda anayefanyia kazi DOLA....unataka umpangie ufanyaji kazi usio katika mwongozo wake wa ukamanda?!!

Acheni kujipa "matrkkkkoo yasiyo KIUNO".

#JMT Milele!
 
Back
Top Bottom