Mbona mtoa post uko nae humu!.Sina hakika kama mtoa post anajua maana ya "kukaimu". Naomba apewe elimu bila shuruti!
Umewahi kumuona akiwa amevalia hizo sare?!ww mleta mada kilaza..inamaana hujui maana ya kukaimu au ww unaelewa vp..kukaimu si kwamba mwenye ofisi hayupo kwa muda labda muliro yupo likizo au anaumwa basi anakaimisha madaraka ili kazi lazima ziendelee ofisini..isitoshe huyo mafwele ndio mkuu wa upelezi mkoa hio kesi ya hao matapeli inamuhusu..mtoa mada punguza hofu uko salama.
Mwambie tupo pamoja na karibu sanaMbona mtoa post uko nae humu!.
Profesa Ibrahim Juma alikaimu kwasababu tayari Jaji Mkuu aliyemtangulia alikuwa ameshastaafu rasmi hivyo mchakato wa kumtafuta JM mpya ulikuwa mezani.Umewahi kumuona akiwa amevalia hizo sare?!
Kukaimu kuko Kwa namna mbalimbali unaweza kujikuta wewe Ndio kilaza
Prof Juma alikaimu Ujaji mkuu kabla ya kuteuliwa rasmi nk...nk 😂😂
Cyabonga JesusWakuu,
Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.
Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele?
Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!
Sativa alimtaja yeye kama moja ya waliohusika kwenye utekaji wake.... amewakosha kwa utendaji mpaka wameona aje kutuliza midomo wakati tunaeleka kwenye uchaguzi mkuu?
Pia soma: Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
Muliro kiumri alishastaafu tangu mwaka jana,aliongezewa Mkataba wa mwaka mmoja,sidhani kama watamuongeza Mkataba mwingineWakuu,
Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.
Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele?
Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!
Sativa alimtaja yeye kama moja ya waliohusika kwenye utekaji wake.... amewakosha kwa utendaji mpaka wameona aje kutuliza midomo wakati tunaeleka kwenye uchaguzi mkuu?
Pia soma: Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
Kazi kweli kweliWakuu,

Yule domo bwabwaji matusi mtaji......Huyo #Sativa ni kijana yupi?, au ni yule mtukanaji watu wa twitter?