Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Hivi huyu ndugu yake na Polepole na huyu mtoa post wanajua kuwa hadi Sasa hivi ZCO Mafwele ndio Kaimu RPC Kanda Maalum ya Dar? Kama wanajua hilo, basi wakumbuke methali ya "Dua la kuku...."!
 
Huyo nae hajaiva kabisa ..alisema sindiketi ikisoma anamaliza nashangaa mwaka unakaribia sijui hiyo sindiketi ndo imempoteza kabisa porini huko!!!😆
 
Inahusunisha kwa kweli. Kwamba Pole Pole ndo kaenda hivyo!
 
Huyo kaka wa polepole Bwege sana.
Mwanajeshi Nyanya kabisa.

Dogo ameuwasa anachekacheka tu.
 
Ilikua delaying tactic ili kumuokoa mdogo wake!walau wajue Kuna MTU anafuatilia!!

Nilitarajia angefanya mission yake iwe silence zaidi kuliko yale makelele kule YouTube!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…