Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,208
- 3,938
na sisi hapa Tanzania tunae BAGWAN RAjNeeSh wetu ila tiss wamelala bado
2,010-100=1,91020.
Ilipofika mwaka 1990,
NABII RASHNISHI Akafariki dunia kwa kuugua maradhi ya moyo. Ilipofika mwaka 2010 FBI wakafunga rasmi faili la kumtafuta madam SHILA wakiamini Kwa miaka zaid ya 100 waliyokkua wakimtafuta, hawezi kua Bado Yuko hai, tayar atakua keshafariki dunia.
Sasa siku ya kufunga faili la kesi ya madam SHILA, kuliibika mabishano makali kati ya maafisa WA fbi kua either Ile kesi iwekewe hadharani au waache tu, maana kuweka wazi kesi Kama Ile kunaweza kuzalisha magaidi wengine ndani ya ardhi ya marekani Kwa mfumo Wa "COPY CAT" .
Yaani GAIDI anaweza kutokana na. Kile anachokiona kwenye tv, mabishano haya yalipofika ikulu, ikaamuliwa faili Hilo liwekewe wazi TU Kwa ummma, Haina haja ya kuficha ficcha, teknolojia ya Sasa imekua Sana sio Kama zamani, ukifanya ugaidi, tukiamua kukutafuta, tutakupata TU.
Basi habari ikawa imeishia hapo, waandishi wa habari wakaruhusiwa kuandika kisa hiki kwenye magazetinna majarida.Kampuni ya MEDICAL DETECTIVES chini ya filmrise, wakawatafuta wahusika waliokuepo enzi hizo, wakatoa shuhuda zao,Kiha documentary inayohusu kisa hicho inaitwa "BIO -ATTACK" ikazinduliwa,
FBI nao kwenye website Yao, upande wa "unsolved mysteries" ukiitafuta hii kesi utanikuta (japo Kwa Sasa sio unsolved Tena). Walishafunga faili la uchunguzi tayari.
*****THE END
NAWASILISHA🙏
...Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na kuanza kufanya vitendo vya kigaidi kwenye ardhi ya marekani.
Tafadhali mods na msije peleka Uzi huu jukwaa la historia Wala jukwaa la simulizi, kisa hiki kibaki hapa hapa jukwaa la Intelijensia. Pia ntaiweka ktk mfumo Wa comment moja ili isiwachoshe wasomaji Hadi mwishoni. Natanguliza Shukran🙏
Ni hivi,
Mwaka 1981, Nabii MILLIONEA na maarufu duniani kutoka nchini India Dokta BAGWAN RAjNeeSh (inatamkwa "RAjNISHI) alifunga ndoa na mmarekani mwenye asili ya India anayeitwa Madam Anand Sheera(inatamkwa SHILA), mkazi WA Oregon,PORTLAND nchini marekani.
Baada ya wawili hao kufunga ndoa, Nabii Dr. RASHNISHI alijipata uraia WA kimarekani, uliomuwezesha kua na uhalali wa kununua na kumiliki ardhi, hivyo kushawishika kufungua tawi jingine la kanisa lake nchini marekani.
Nabii Dr. RASHNISHI alinunua zaidi ya hekali 64,400 za ardhi mjini oregon kusini , na kuanzisha kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji matunda na mbogamboga, ndani ya Hilo Hilo eneo, akajenga KANISA lake KUBWA, shule yake,hospitali yake, shopping mall zake, barabara za lami, pamoja na apartment za kisasa zaid ya 1,000 Kwa ajili ya waumini wake, wagonjwa wake,familia yake pamoja na wafanyakazi wake.
****************
Red flagNabii RAjNISHI alikua mtu humble Sana, ata siku anakamatwa anatabasamu tu, unaweza dhani , anasingiziwa.
Picha ni akiwa na bodyguards wake, inasemekana alkua na ma bodyguard wengi na msafara wake, unaweza dhani RAISI anapita
Nabii Mnemba tuache bhnAnayehisi amelogwa aje inbox
Mike undeNabii Mnemba tuache bhn
Miaka 100 imefikaje?20.
Ilipofika mwaka 1990,
NABII RASHNISHI Akafariki dunia kwa kuugua maradhi ya moyo. Ilipofika mwaka 2010 FBI wakafunga rasmi faili la kumtafuta madam SHILA wakiamini Kwa miaka zaid ya 100 waliyokkua wakimtafuta, hawezi kua Bado Yuko hai, tayar atakua keshafariki dunia.
Sasa siku ya kufunga faili la kesi ya madam SHILA, kuliibika mabishano makali kati ya maafisa WA fbi kua either Ile kesi iwekewe hadharani au waache tu, maana kuweka wazi kesi Kama Ile kunaweza kuzalisha magaidi wengine ndani ya ardhi ya marekani Kwa mfumo Wa "COPY CAT" .
Yaani GAIDI anaweza kutokana na. Kile anachokiona kwenye tv, mabishano haya yalipofika ikulu, ikaamuliwa faili Hilo liwekewe wazi TU Kwa ummma, Haina haja ya kuficha ficcha, teknolojia ya Sasa imekua Sana sio Kama zamani, ukifanya ugaidi, tukiamua kukutafuta, tutakupata TU.
Basi habari ikawa imeishia hapo, waandishi wa habari wakaruhusiwa kuandika kisa hiki kwenye magazetinna majarida.Kampuni ya MEDICAL DETECTIVES chini ya filmrise, wakawatafuta wahusika waliokuepo enzi hizo, wakatoa shuhuda zao,Kiha documentary inayohusu kisa hicho inaitwa "BIO -ATTACK" ikazinduliwa,
FBI nao kwenye website Yao, upande wa "unsolved mysteries" ukiitafuta hii kesi utanikuta (japo Kwa Sasa sio unsolved Tena). Walishafunga faili la uchunguzi tayari.
*****THE END
NAWASILISHA🙏
Jamaa mi mwenyewe namkubali. Kuna Sadhguru kwangu ndo amekuwa mbadala wa OshoNmesikitika na mleta bango kwa kukopi sehemu ya upande mmoja wa ripoti ya serikali ya marekani kuuhusu bagwaan( osho) .
Hayoo yoote zilikua njama za baadhi ya madheebu ya kidini yaliyo ungana kumchafua osho kwa kashifa ya ugaidi kutokana na mafunzo yake mwanga katika giza totoro la dini au Sanaa ya meditation ilioleta mapinduzi makubwa nchini marekani mpaka watawala wakamuundia zengwe na kurudi India.
Na sio marekani tu mpaka India walimkataa akaishi mbali kidogo na majiji makubwa ya India . Na yoote ni kusema utapeli ulio katika dini zoote ata za kiindi.
Mimi binafsi nakubali sana osho kuliko mystic woote walio wahi kutokea .
Na kilicho nisikitisha ni baadhi ya wachangiaji kuchukulia hii story yako ya copy and paste kama ya ukweli na kuringanisha na baadhi ya wahuni walioko tanzania eti manabii haaa haaa.
huyu rashnini?Ila jamaa ana mafundisho mazuri sana ya binadamu kujitambua DR Mambo Jambo