FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

Natanguliza Shukran
Hongera kwa bandiko coz umechukua muda wako kuandika na kuleta humu.Siku nyingine jaribu kuingia ndani zaidi ili kupunguza makosa rahisi ya kibinaadamu.

 
Pamoja sana mkuu
Hongera kwa bandiko coz umechukua muda wako kuandika na kuleta humu.Siku nyingine jaribu kuingia ndani zaidi ili kupunguza makosa rahisi ya kibinaadamu.

 
Hata majambazi kuwatia hatiani mahakamani uwa ngumu sn, wanaouwezo wa kuajili mawakili Bora kabisa, Kama mjuavyo, mawakili WA serikali uwa ni vilaza Sana. Hii nadhan ni nchi almost zote
Walitakiwa wafanye kama chama cha majambazi tuu, Kamata Ally kibao nyonga huyo mhubiri kesi kwisha.
 
Hata majambazi kuwatia hatiani mahakamani uwa ngumu sn, wanaouwezo wa kuajili mawakili Bora kabisa, Kama mjuavyo, mawakili WA serikali uwa ni vilaza Sana. Hii nadhan ni nchi almost zote
Lawyers are like Whores or Prostitutes 🙊
 
Bhai si watu wa kuwaamini kabisa, Hawa nawajua nilikua nao utotoni. Ni watu wa kutafuta loopholes Kila wakati ilimradi apige pesa, kwake yy Kila anachosema au kukinadi ni kizuri.
 
Bhai si watu wa kuwaamini kabisa, Hawa nawajua nilikua nao utotoni. Ni watu wa kutafuta loopholes Kila wakati ilimradi apige pesa, kwake yy Kila anachosema au kukinadi ni kizuri.
Rostam aziz akiona hii comment atakutafuta😎😎
 
20.
Ilipofika mwaka 1990,
NABII RASHNISHI Akafariki dunia kwa kuugua maradhi ya moyo. Ilipofika mwaka 2010 FBI wakafunga rasmi faili la kumtafuta madam SHILA wakiamini Kwa miaka zaid ya 100 waliyokkua wakimtafuta, hawezi kua Bado Yuko hai, tayar atakua keshafariki dunia.

Sasa siku ya kufunga faili la kesi ya madam SHILA, kuliibika mabishano makali kati ya maafisa WA fbi kua either Ile kesi iwekewe hadharani au waache tu, maana kuweka wazi kesi Kama Ile kunaweza kuzalisha magaidi wengine ndani ya ardhi ya marekani Kwa mfumo Wa "COPY CAT" .

Yaani GAIDI anaweza kutokana na. Kile anachokiona kwenye tv, mabishano haya yalipofika ikulu, ikaamuliwa faili Hilo liwekewe wazi TU Kwa ummma, Haina haja ya kuficha ficcha, teknolojia ya Sasa imekua Sana sio Kama zamani, ukifanya ugaidi, tukiamua kukutafuta, tutakupata TU.

Basi habari ikawa imeishia hapo, waandishi wa habari wakaruhusiwa kuandika kisa hiki kwenye magazetinna majarida.Kampuni ya MEDICAL DETECTIVES chini ya filmrise, wakawatafuta wahusika waliokuepo enzi hizo, wakatoa shuhuda zao,Kiha documentary inayohusu kisa hicho inaitwa "BIO -ATTACK" ikazinduliwa,

FBI nao kwenye website Yao, upande wa "unsolved mysteries" ukiitafuta hii kesi utanikuta (japo Kwa Sasa sio unsolved Tena). Walishafunga faili la uchunguzi tayari.

*****THE END

NAWASILISHA🙏
Kuanzia 1981 mpaka 2010 imeshafika miaka 100?
 
Back
Top Bottom