Leta zingine ila usitulipishee mara what's appKaribu sana kiongozi😊
Story nzuri. Naona Mama J sasa hivi anakupa amani ya rohoNabii RAjNISHI alikua mtu humble Sana, ata siku anakamatwa anatabasamu tu, unaweza dhani , anasingiziwa.
Picha ni akiwa na bodyguards wake, inasemekana alkua na ma bodyguard wengi na msafara wake, unaweza dhani RAISI anapita
Mkuu TAFUTA Video Za RAJNEESH au kwa jina maarufu OSHO au BAGWAN ,usipokuwa addicted kumsikiliza uje unipige mawe, OSHO ukimsikiliza una nafasi ndogo sana ya kuepuka kuwa muumini wake, Akili nyingi sana huyo Jamaa ,nyingi mno.Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na kuanza kufanya vitendo vya kigaidi kwenye ardhi ya marekani.
Tafadhali mods na msije peleka Uzi huu jukwaa la historia Wala jukwaa la simulizi, kisa hiki kibaki hapa hapa jukwaa la Intelijensia. Pia ntaiweka ktk mfumo Wa comment moja ili isiwachoshe wasomaji Hadi mwishoni. Natanguliza Shukran🙏
Ni hivi,
Mwaka 1981, Nabii MILLIONEA na maarufu duniani kutoka nchini India Dokta BAGWAN RASHNeeSh (inatamkwa "RASHNISHI) alifunga ndoa na mmarekani mwenye asili ya India anayeitwa Madam Anand Sheera(inatamkwa SHILA), mkazi WA Oregon,PORTLAND nchini marekani.
Baada ya wawili hao kufunga ndoa, Nabii Dr. RASHNISHI alijipata uraia WA kimarekani, uliomuwezesha kua na uhalali wa kununua na kumiliki ardhi, hivyo kushawishika kufungua tawi jingine la kanisa lake nchini marekani.
Nabii Dr. RASHNISHI alinunua zaidi ya hekali 64,400 za ardhi mjini oregon kusini , na kuanzisha kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji matunda na mbogamboga, ndani ya Hilo Hilo eneo, akajenga KANISA lake KUBWA, shule yake,hospitali yake, shopping mall zake, barabara za lami, pamoja na apartment za kisasa zaid ya 1,000 Kwa ajili ya waumini wake, wagonjwa wake,familia yake pamoja na wafanyakazi wake.
****************
Jamaa alkua na wisdom ya Hali yajuu Sana, Sasa Sijaelewa ilikuaje akaamua kufanya ugaidi namna Ile.Mkuu TAFUTA Video Za RAJNEESH au kwa jina maarufu OSHO au BAGWAN ,usipokuwa addicted kumsikiliza uje unipige mawe, OSHO ukimsikiliza una nafasi ndogo sana ya kuepuka kuwa muumini wake, Akili nyingi sana huyo Jamaa ,nyingi mno.
Mkuu TAFUTA Video Za RAJNEESH au kwa jina maarufu OSHO au BAGWAN ,usipokuwa addicted kumsikiliza uje unipige mawe, OSHO ukimsikiliza una nafasi ndogo sana ya kuepuka kuwa muumini wake, Akili nyingi sana huyo Jamaa ,nyingi mno.
Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na kuanza kufanya vitendo vya kigaidi kwenye ardhi ya marekani.
Tafadhali mods na msije peleka Uzi huu jukwaa la historia Wala jukwaa la simulizi, kisa hiki kibaki hapa hapa jukwaa la Intelijensia. Pia ntaiweka ktk mfumo Wa comment moja ili isiwachoshe wasomaji Hadi mwishoni. Natanguliza Shukran🙏
Ni hivi,
Mwaka 1981, Nabii MILLIONEA na maarufu duniani kutoka nchini India Dokta BAGWAN RASHNeeSh (inatamkwa "RASHNISHI) alifunga ndoa na mmarekani mwenye asili ya India anayeitwa Madam Anand Sheera(inatamkwa SHILA), mkazi WA Oregon,PORTLAND nchini marekani.
Baada ya wawili hao kufunga ndoa, Nabii Dr. RASHNISHI alijipata uraia WA kimarekani, uliomuwezesha kua na uhalali wa kununua na kumiliki ardhi, hivyo kushawishika kufungua tawi jingine la kanisa lake nchini marekani.
Nabii Dr. RASHNISHI alinunua zaidi ya hekali 64,400 za ardhi mjini oregon kusini , na kuanzisha kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji matunda na mbogamboga, ndani ya Hilo Hilo eneo, akajenga KANISA lake KUBWA, shule yake,hospitali yake, shopping mall zake, barabara za lami, pamoja na apartment za kisasa zaid ya 1,000 Kwa ajili ya waumini wake, wagonjwa wake,familia yake pamoja na wafanyakazi wake.
**************
Hakuwa Dactari wa binadamu kama ulivyoandika alikuwa Lecturer wa chuo alikuwa anafundisha PHILOSOPHY, Mimi huyu bwana nimepata kusikiliza video zake nyingi mpaka nikaagiza Vitabu alivyopata kuandika Nikavinunua ninavyo mpaka ,A SUPER GENIOUS.Jamaa alkua na wisdom ya Hali yajuu Sana, Sasa Sijaelewa ilikuaje akaamua kufanya ugaidi namna Ile.
Nabii RASHNISHI punde TU baada ya kuachiliwa huru, alipanda ndege yake (private jet) na kwenda kutua jf Kennedy international airport, ambako alipanda ndege (Indian airways) na kwenda zake India. Hajawai kurudi Tena marekani, na ndege yake binfsi aliyoitelekeza pale jf Kennedy airport . Ilivokosa mwenyewe WA kulipia deni la parking and maintaince fees, serikali ikaitaifisha.😂😂😂😂😂😂20.
Ilipofika mwaka 1990,
NABII RASHNISHI Akafariki dunia kwa kuugua maradhi ya moyo. Ilipofika mwaka 2010 FBI wakafunga rasmi faili la kumtafuta madam SHILA wakiamini Kwa miaka zaid ya 100 waliyokkua wakimtafuta, hawezi kua Bado Yuko hai, tayar atakua keshafariki dunia.
Sasa siku ya kufunga faili la kesi ya madam SHILA, kuliibika mabishano makali kati ya maafisa WA fbi kua either Ile kesi iwekewe hadharani au waache tu, maana kuweka wazi kesi Kama Ile kunaweza kuzalisha magaidi wengine ndani ya ardhi ya marekani Kwa mfumo Wa "COPY CAT" .
Yaani GAIDI anaweza kutokana na. Kile anachokiona kwenye tv, mabishano haya yalipofika ikulu, ikaamuliwa faili Hilo liwekewe wazi TU Kwa ummma, Haina haja ya kuficha ficcha, teknolojia ya Sasa imekua Sana sio Kama zamani, ukifanya ugaidi, tukiamua kukutafuta, tutakupata TU.
Basi habari ikawa imeishia hapo, waandishi wa habari wakaruhusiwa kuandika kisa hiki kwenye magazetinna majarida.Kampuni ya MEDICAL DETECTIVES chini ya filmrise, wakawatafuta wahusika waliokuepo enzi hizo, wakatoa shuhuda zao,Kiha documentary inayohusu kisa hicho inaitwa "BIO -ATTACK" ikazinduliwa,
FBI nao kwenye website Yao, upande wa "unsolved mysteries" ukiitafuta hii kesi utanikuta (japo Kwa Sasa sio unsolved Tena). Walishafunga faili la uchunguzi tayari.
*****THE END
NAWASILISHA🙏
Ndio, Nabii Rajneesh, anayejulikana zaidi kwa jina la Osho, alikuwa mwanafalsafa na kiongozi wa kiroho kutoka India. Alizaliwa mwaka 1931 na kufariki mwaka 1990. Alijulikana kwa mafundisho yake ya kipekee kuhusu:Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na kuanza kufanya vitendo vya kigaidi kwenye ardhi ya marekani.
Tafadhali mods na msije peleka Uzi huu jukwaa la historia Wala jukwaa la simulizi, kisa hiki kibaki hapa hapa jukwaa la Intelijensia. Pia ntaiweka ktk mfumo Wa comment moja ili isiwachoshe wasomaji Hadi mwishoni. Natanguliza Shukran🙏
Ni hivi,
Mwaka 1981, Nabii MILLIONEA na maarufu duniani kutoka nchini India Dokta BAGWAN RAjNeeSh (inatamkwa "RAjNISHI) alifunga ndoa na mmarekani mwenye asili ya India anayeitwa Madam Anand Sheera(inatamkwa SHILA), mkazi WA Oregon,PORTLAND nchini marekani.
Baada ya wawili hao kufunga ndoa, Nabii Dr. RASHNISHI alijipata uraia WA kimarekani, uliomuwezesha kua na uhalali wa kununua na kumiliki ardhi, hivyo kushawishika kufungua tawi jingine la kanisa lake nchini marekani.
Nabii Dr. RASHNISHI alinunua zaidi ya hekali 64,400 za ardhi mjini oregon kusini , na kuanzisha kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji matunda na mbogamboga, ndani ya Hilo Hilo eneo, akajenga KANISA lake KUBWA, shule yake,hospitali yake, shopping mall zake, barabara za lami, pamoja na apartment za kisasa zaid ya 1,000 Kwa ajili ya waumini wake, wagonjwa wake,familia yake pamoja na wafanyakazi wake.
****************
Sio mtaalamu Sana WA kiswahili, Ila kanisa nilimaanisha Kama sehemu ya kuabudu, maana Rajnishi alkua kiongozi WA kiroho. Asante sn kunisahihishakwa namna ulivyoandika, ni kama vile hii movement ya Rajneesh ilikua ya kikristo, kumbe ilikuwa religious movement ya imani za kihindi, hazifanani na ukristo. sijaelewa unaposema "kanisa lake" kanisa ni kwa wakristo, hao wahindi wana mahekalu yao kwa kmajina yao..usipotoshe.
a new religious movement inspired by the Indian mystic Bhagwan Shree Rajneesh (1931–1990), also known as Osho.
Ndio, Nabii Rajneesh, anayejulikana zaidi kwa jina la Osho, alikuwa mwanafalsafa na kiongozi wa kiroho kutoka India. Alizaliwa mwaka 1931 na kufariki mwaka 1990. Alijulikana kwa mafundisho yake ya kipekee kuhusu:
- Uhuru wa mtu binafsi
- Maisha ya kiroho bila dini rasmi
- Ngono kama njia ya kiroho (alitofautiana sana na mafundisho ya kawaida ya dini)
- Ukombozi wa akili dhidi ya mila na desturi za kijamii
Osho alipata umaarufu mkubwa duniani kote, hasa kupitia vitabu na hotuba zake nyingi. Alianzisha jumuiya kubwa huko Oregon, Marekani, miaka ya 1980, iliyoitwa Rajneeshpuram, lakini ilihusishwa na migogoro mingi ya kisiasa, kisheria, na kijamii.
Aliwahi kushtakiwa kwa makosa kadhaa, akafukuzwa Marekani, na akarudi India hadi kifo chake.
Mafundisho yake bado yanafuatwa na watu wengi duniani kupitia vituo vya Osho Meditation Centers. Wengine wanamwona kama mwanga wa kiroho, huku wengine wakimkosoa kwa kuwa kontrovanshali.