FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

Nabii RASHNISHI punde TU baada ya kuachiliwa huru, alipanda ndege yake (private jet) na kwenda kutua jf Kennedy international airport, ambako alipanda ndege (Indian airways) na kwenda zake India. Hajawai kurudi Tena marekani, na ndege yake binfsi aliyoitelekeza pale jf Kennedy airport . Ilivokosa mwenyewe WA kulipia deni la parking and maintaince fees, serikali ikaitaifisha.😂😂😂😂😂😂
Ha ha ha...mbona umecheka Sana, kwamba MILLIONEA alishindwaje kulipia parking fee?😂
 
Hakuwa Dactari wa binadamu kama ulivyoandika alikuwa Lecturer wa chuo alikuwa anafundisha PHILOSOPHY, Mimi huyu bwana nimepata kusikiliza video zake nyingi mpaka nikaagiza Vitabu alivyopata kuandika Nikavinunua ninavyo mpaka ,A SUPER GENIOUS.
Safi sn, Hebu karibu ushushe madini zaidi khs uyo jamaa, mi sjamfuatilia sana. Ila ktk kusoma zile fbi files ndo nmekutama na kisa chake ndo nikakileta humu
 
20.
Ilipofika mwaka 1990,
NABII RASHNISHI Akafariki dunia kwa kuugua maradhi ya moyo. Ilipofika mwaka 2010 FBI wakafunga rasmi faili la kumtafuta madam SHILA wakiamini Kwa miaka zaid ya 100 waliyokkua wakimtafuta, hawezi kua Bado Yuko hai, tayar atakua keshafariki dunia.

Sasa siku ya kufunga faili la kesi ya madam SHILA, kuliibika mabishano makali kati ya maafisa WA fbi kua either Ile kesi iwekewe hadharani au waache tu, maana kuweka wazi kesi Kama Ile kunaweza kuzalisha magaidi wengine ndani ya ardhi ya marekani Kwa mfumo Wa "COPY CAT" .

Yaani GAIDI anaweza kutokana na. Kile anachokiona kwenye tv, mabishano haya yalipofika ikulu, ikaamuliwa faili Hilo liwekewe wazi TU Kwa ummma, Haina haja ya kuficha ficcha, teknolojia ya Sasa imekua Sana sio Kama zamani, ukifanya ugaidi, tukiamua kukutafuta, tutakupata TU.

Basi habari ikawa imeishia hapo, waandishi wa habari wakaruhusiwa kuandika kisa hiki kwenye magazetinna majarida.Kampuni ya MEDICAL DETECTIVES chini ya filmrise, wakawatafuta wahusika waliokuepo enzi hizo, wakatoa shuhuda zao,Kiha documentary inayohusu kisa hicho inaitwa "BIO -ATTACK" ikazinduliwa,

FBI nao kwenye website Yao, upande wa "unsolved mysteries" ukiitafuta hii kesi utanikuta (japo Kwa Sasa sio unsolved Tena). Walishafunga faili la uchunguzi tayari.

*****THE END

NAWASILISHA🙏
Safi sana, ni kisa kizuri
 
1. Bila shaka hii story itakua umesimuliwa msikitini ukifatilia historia ya huyu bwana hakuwahi kua na kanisa

2. Bali alikua anashawishi watu kutofuatisha dini kuu za dunia i.e ukristo,uislamu sasa kanisa madhabahu yote haya ametoka wapi? Yeye alianzisha movement inayoitwa rajneeshpuram
3. Huyu mtu alishitakiwa kwa makosa ya uhamiaji na bio attack hayo ya salmonella

Au mwenzetu makobazi huwezi kutofautisha kila kitu unaona kanisa,madhabahu, maji ya upako etc...😂😂😂 unaweza google rajneeshpuram saga ukaelewa zaidi
 
Hongera kwa uandishi mzuri na kuvutia, ila kwanini unasema Jamaa alikua medical doctor sio philosopher? kwanini unasema Sheela alikua mke wake sio personal assistant?
Miaka minne na nusu aliyofungwa Sheela ilikua kwa kosa gani?

Ya mwisho umesema sababu ya kufungwa kwa jarida ni miaka 100 kupita wakati sheela yupo mpaka sasa akiwa na miaka 75 tu?
 
Duh!
Pamoja na kuwa na masikio ya paka na macho ya chui kwenyehabari za kidunia
Sijawahi kujua huyu bingwa...
Asante....
 
1. Bila shaka hii story itakua umesimuliwa msikitini ukifatilia historia ya huyu bwana hakuwahi kua na kanisa

2. Bali alikua anashawishi watu kutofuatisha dini kuu za dunia i.e ukristo,uislamu sasa kanisa madhabahu yote haya ametoka wapi? Yeye alianzisha movement inayoitwa rajneeshpuram
3. Huyu mtu alishitakiwa kwa makosa ya uhamiaji na bio attack hayo ya salmonella

Au mwenzetu makobazi huwezi kutofautisha kila kitu unaona kanisa,madhabahu, maji ya upako etc...😂😂😂 unaweza google rajneeshpuram saga ukaelewa zaidi
Kina mwamposa wanapita mulemule...
Unafanyiwa miadi kumuona, baada ya kujieleza shida zako, wanakupanga ushiriki kwenye misa, halafu unapewa maji ya upako....
 
kwa namna ulivyoandika, ni kama vile hii movement ya Rajneesh ilikua ya kikristo, kumbe ilikuwa religious movement ya imani za kihindi, hazifanani na ukristo. sijaelewa unaposema "kanisa lake" kanisa ni kwa wakristo, hao wahindi wana mahekalu yao kwa kmajina yao..usipotoshe.

a new religious movement inspired by the Indian mystic Bhagwan Shree Rajneesh (1931–1990), also known as Osho.
Hata mimi nilidhani alikuwa mkristo kumbe hakuhusiana kabisa na ukristo ..
 
Back
Top Bottom