FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

Nmesikitika na mleta bango kwa kukopi sehemu ya upande mmoja wa ripoti ya serikali ya marekani kuuhusu bagwaan( osho) .
Hayoo yoote zilikua njama za baadhi ya madheebu ya kidini yaliyo ungana kumchafua osho kwa kashifa ya ugaidi kutokana na mafunzo yake mwanga katika giza totoro la dini au Sanaa ya meditation ilioleta mapinduzi makubwa nchini marekani mpaka watawala wakamuundia zengwe na kurudi India.

Na sio marekani tu mpaka India walimkataa akaishi mbali kidogo na majiji makubwa ya India . Na yoote ni kusema utapeli ulio katika dini zoote ata za kiindi.

Mimi binafsi nakubali sana osho kuliko mystic woote walio wahi kutokea .

Na kilicho nisikitisha ni baadhi ya wachangiaji kuchukulia hii story yako ya copy and paste kama ya ukweli na kuringanisha na baadhi ya wahuni walioko tanzania eti manabii haaa haaa.
 
2,010-100=1,910
Hiyo miaka 100 imetokea wapi?
1981 ndio Ndoa????
 
...
 
Nabii RAjNISHI alikua mtu humble Sana, ata siku anakamatwa anatabasamu tu, unaweza dhani , anasingiziwa.

Picha ni akiwa na bodyguards wake, inasemekana alkua na ma bodyguard wengi na msafara wake, unaweza dhani RAISI anapita
Red flag
 
Umetisha sana mkali...🤗
Sema classmate alicheza kama pele...🤣... R.i.P..😮‍💨
 
Miaka 100 imefikaje?
 
Jamaa mi mwenyewe namkubali. Kuna Sadhguru kwangu ndo amekuwa mbadala wa Osho
 
Nice story
Ila sheria nazo,mtu anafanya yote hayo na bado mahakama inasema ushahidi autoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…