FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998. Hata kama huwapendi wamarekani, basi tuwaheshimu tu

Madai ya anti Us ni kwamba wanapinga Dhuruma za Us.. Sasa huyu bwana dogo Ahmed Ghailan alidhurumiwa nini na US hadi kwenda kuua watu ubalozi wao.
Wale jamaa wa kibiti wangelichekewa Tanzania ingelikuwa na akina Shekeu wengine.
Kwahiyo kwa sababu magaidi waliushambulia ubalozi wa Marekani, basi Marekani haiwezekani akafanya dhuluma? Halafu mtu akiwa anti US ni lazima awaunge mkono magaidi?
 
Hapo tutatofsutiana mkuu. Mchaga yesu ni utamaduni tu mbele ya hela hela iko mwanzo.
Kumsaidia gaidi wa kiislamu , kwa mchaga ni ndoto
Tuache unafiki wale jamaa ni wapinga Kristo
Na mchaga anahamu na fursa , na sio hela -
Kama wangekuwa wanapenda hela sana , Basi ungekuta ni machangudoa
But ninapitaga sana Moshi , Ni hakuna machangudoa
 
Madai ya anti Us ni kwamba wanapinga Dhuruma za Us.. Sasa huyu bwana dogo Ahmed Ghailan alidhurumiwa nini na US hadi kwenda kuua watu ubalozi wao.
Wale jamaa wa kibiti wangelichekewa Tanzania ingelikuwa na akina Shekeu wengine.
Ni Muslim huyo. Ukizaliwa muslim kuna imani kwamba wewe unaonewa na kila mwenye pumzi hapa ulimwenguni tukianzia na marekani then Israel na wazungu kisha christians na muslim wengine
 
Ulikuwa na umri gani?
 
Brooooooo! Moshi hakuna machangu? Au moshi uloyofika wewe ipo Taveta?
 
Viuno vigimu vile watamuuzia nani
 
Hii mission ilipigwa na FBI au CIA!? ..maana ni mashirika mawili tofauti yenye majukumu yanayofanana lakini kwa utendaji kazi wa tofauti!..Vipi kwa kesi hiyo siyo CIA ndio walishughulika nalo?
 
Hii mission ilipigwa na FBI au CIA!? ..maana ni mashirika mawili tofauti yenye majukumu yanayofanana lakini kwa utendaji kazi wa tofauti!..Vipi kwa kesi hiyo siyo CIA ndio walishughulika nalo?
Uko sahihi ni CIAwakishirikiana na FBI
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Walipokuja FBI walichunguza mabaki ya Bomu. Bomu liliwekwa kwenye Boza la Maji(lori la Isunzu rangi ya Blue lilokuwa linapereka maji pale ubalozini) kwenye yale Mabaki waligundua gesi zilizotumika kuunda lile bomu. Walienda TOL na kuomba majina ya walionunua gesi kwa kipindi cha miezi 3 iliyopita na ndipo walipogundua kuwa mzee Lymo alinunua kiasi fulani cha gesi husika. Walipo muoji na kutaja alitumiaje hiyo gesi. Ndipo FBI wakaamia Ilala kwenye Nyumba waliopanga vijana wa Osama! The rest is history
 
Akili nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…