FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998. Hata kama huwapendi wamarekani, basi tuwaheshimu tu

FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998. Hata kama huwapendi wamarekani, basi tuwaheshimu tu

Thomas lyimo ni miongoni wa waliokamatwa kuisaidia usa, yeye alikuwa ni mfanyabiashara ya vyuma, akiwa na hardware kkoo gerezani na kimara, alikuwa na karakana ya kukunja mabati (plates) kwa ajili ya bodi za gari na shughuli mbalimbali) alikuwa anafaya baishara ya kuuza flat bars,square pipes,round pipes,z agle,u angle,angle zote na nondo,ni mteja mzuri wa kiwanda cha sita steel na kamal.

kazi ya wale magaid ilifanyika katika karakana yake bila kujua,walijua ni wateja tu kama wateja wengine
 
Mimi ninachojua ni kuwa kwa viwango vya ujasusi wa USA... mpaka sa hivi wanajua mashoga ni kina nani mtaani na serikalini.
Na kwa uhakika wanaweza kutusaidia kuwafahamu wanaotuhujumu kwa mujibu wa ripoti ya CAG na TAKUKURU.
Kama tuna nia kabisa kutokomeza haya; kwanini tusiwashirikishe??
 
Thomas lyimo ni miongoni wa waliokamatwa kuisaidia usa, yeye alikuwa ni mfanyabiashara ya vyuma, akiwa na hardware kkoo gerezani na kimara, alikuwa na karakana ya kukunja mabati (plates) kwa ajili ya bodi za gari na shughuli mbalimbali) alikuwa anafaya baishara ya kuuza flat bars,square pipes,round pipes,z agle,u angle,angle zote na nondo,ni mteja mzuri wa kiwanda cha sita steel na kamal.

kazi ya wale magaid ilifanyika katika karakana yake bila kujua,walijua ni wateja tu kama wateja wengine
Bila kumdaka yeye kazi ingekuwa ngumu sana
 
Akili nyingi
Jamaa awakurupuki. Kule Libya Ghadafi alipopanga kulipua ndege ya Wamarekani kwenye anga la UK. Mahesabu ilikuwa ndege idondokee baharini hivyo kufanya uchunguzi wa nini kimesababisha ajali uwe mgumu na isiwezekane. Bahati Mbaya Ndege ikaangukia kwenye makazi ya watu kule Lockerbie. Pale walipata mabaki ya electronic timer circuit iliyoundwa na Kampuni moja ya Uswis. FBI wakatia timu Uswis wakaomba wanunuzi wa zile timers boards. Kwenye list wakaona Libya walinunua circuit 12. Wakawabana waonyeshe walivyozitumia😂Ghadafi circuit 2 akakosa maelezo amezitumiaje , wakampa zile 2 zilizokutwa kwenye mabaki ya ajali ya Ndege na walipo connect the dots backward( always we connect the dots backward😁) wakaja gundua kuwa kuna majamaa wawili waliingiza mizigo yao (2-Briefcases (Samsonite- Brand) ambazo ndo mabomu yenyewe) ndani ya Ndege lakini awakupanda. (Now days ukishakaa kwenye kiti ndani ya ndege ndo mizigo yako inaingia nayo!) wale majamaa walikamatwa na wakakutwa ni majausi wabobezi wa Libya. Mmoja wamwemwachia miaka ya hivi karibuni toka jela kwa sababu za kibinadamu (ana kansa)
 
Jamaa awakurupuki. Kule Libya Ghadafi alipopanga kulipua ndege ya Wamarekani kwenye anga la UK. Mahesabu ilikuwa ndege idondokee baharini hivyo kufanya uchunguzi wa nini kimesababisha ajali uwe mgumu na isiwezekane. Bahati Mbaya Ndege ikaangukia kwenye makazi ya watu kule Lockerbie. Pale walipata mabaki ya electronic timer circuit iliyoundwa na Kampuni moja ya Uswis. FBI wakatia timu Uswis wakaomba wanunuzi wa zile timers boards. Kwenye list wakaona Libya walinunua circuit 5. Wakawabana waonyeshe walivyozitumia😂Ghadafi circuit 2 akakosa maelezo amezitumiaje , wakampa zile 2 zilizokutwa kwenye mabaki ya ajali ya Ndege na walipo connect the dots backward( always we connect the dots backward😁) wakaja gundua kuwa kuna majamaa wawili waliingiza mizigo yao ndani ya Ndege lakini awakupanda. (Now days ukishakaa kwenye kiti ndani ya ndege ndo mizigo yako inaingia nayo!) wale majamaa walikamatwa na wakakutwa ni majausi wabobezi wa Libya. Mmoja wamwemwachia miaka ya hivi karibuni toka jela kwa sababu za kibinadamu (ana kansa)
Ndio sababu ya kumuandama gadaffi?
 
Ule uzito wa ule mlipuko sitaweza kuusahau mpaka nakufa.!!!!!!!! Wakazi wa Magomeni watakuwa mashahidi kwenye hili!!!!!!!! Utafikiri lililipuliwa Magomeni!!!!!!!!!!!!!!! Kile kishindo hatari!!!!!!!!!!!!!

What next ndiyo tukajua CIA na FBI ni nani!!!!!!!! Ilala plus Magomeni ule mchakamchaka wake kama movie vile!!!!!!!!!!!!!
Nakumbuka LY '98, tunasikia mlipuko tukiwa shule, badae ndio tunasikia ni bomu ubalozi wa US.
 
Jamaa awakurupuki. Kule Libya Ghadafi alipopanga kulipua ndege ya Wamarekani kwenye anga la UK. Mahesabu ilikuwa ndege idondokee baharini hivyo kufanya uchunguzi wa nini kimesababisha ajali uwe mgumu na isiwezekane. Bahati Mbaya Ndege ikaangukia kwenye makazi ya watu kule Lockerbie. Pale walipata mabaki ya electronic timer circuit iliyoundwa na Kampuni moja ya Uswis. FBI wakatia timu Uswis wakaomba wanunuzi wa zile timers boards. Kwenye list wakaona Libya walinunua circuit 5. Wakawabana waonyeshe walivyozitumia😂Ghadafi circuit 2 akakosa maelezo amezitumiaje , wakampa zile 2 zilizokutwa kwenye mabaki ya ajali ya Ndege na walipo connect the dots backward( always we connect the dots backward😁) wakaja gundua kuwa kuna majamaa wawili waliingiza mizigo yao ndani ya Ndege lakini awakupanda. (Now days ukishakaa kwenye kiti ndani ya ndege ndo mizigo yako inaingia nayo!) wale majamaa walikamatwa na wakakutwa ni majausi wabobezi wa Libya. Mmoja wamwemwachia miaka ya hivi karibuni toka jela kwa sababu za kibinadamu (ana kansa)
Du hatari sana hao jamaa wana akili sana huku bongo ndege ya precission air majaliwa ndio stearing wa mchezo na sinema imeisha
 
Jamaa wana intel nzuri sana yaani wakipata kianzio tu au source mojawapo basi inawaletea all information,
sijui na sisi kama vyombo vyetu vya ulinzi vina hizo methods au na zenyewe zina kamata kamata tu then mwenye pesa anatoka na asie na pesa ndiyo anapewa kesi.
 
Kwahiyo kwa sababu magaidi waliushambulia ubalozi wa Marekani, basi Marekani haiwezekani akafanya dhuluma? Halafu mtu akiwa anti US ni lazima awaunge mkono magaidi?
Ni wapi nimesema hayo?.Nimeuliza huyu jamaa alidhurumiwa nini na US kwasababu Dhuruma ndiyo dai lao kuu, ikiwa huna jibu kaa kimya.
 
Jamaa wana intel nzuri sana yaani wakipata kianzio tu au source mojawapo basi inawaletea all information,
sijui na sisi kama vyombo vyetu vya ulinzi vina hizo methods au na zenyewe zina kamata kamata tu then mwenye pesa anatoka na asie na pesa ndiyo anapewa kesi.
Hatuwezi kuwafikia si
Leo wala kesho
USA ni ngumu sana kusingiziwa kesi ukiwa na mwanasheria mzuri,maana wanaamini katika evidence kabla ya judgement
Huku bongo sasa...
 
Back
Top Bottom