Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Vipi kuhusu ilala?Ahmed Ghailan aliishi magomeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu ilala?Ahmed Ghailan aliishi magomeni
Kuna mstari mwembamba sana unatenganisha kati ya kuelewa hoja na kuikubaliSawa.. Ila niseme tu nimejaribu kuilewa point yako ila nimefel.
Duh! Punguza chuki babuUnaongea utumbo.
Mchaga hufanya kila kitu kwa ubora
1. Wizi wa hali juu
2. Mishe za hali ya juu
3. Uchangu wa kisada sio ule wa kihaya kujipanga road
Sina chuki hata kidogo na wachaga.Duh! Punguza chuki babu
Maisha ndo haya
Sijawahi kuona makahaba wa 100USD/hr mwenye Mushi , Massawe au jina la kichaga
Ok ,Sina chuki hata kidogo na wachaga.
Wachaga ninawakubali sana.
Na wao hufanya kila kitu kwa ubunifu wa hali ya juu liwe jema au baya lazima wafanikishe
...ni kimara na Bucha😃....Yesu na Maria !!! Mchaga na ugaidi wapi na wapi?
Yani mchaga OG amkane Yesu kisa hela? Hilo sahau
Mi niliandika kutoka kichwani kwa ninayofahamu,huyu bwana juu ametoa google.ila ninachofahamu Ghailan alikamatiwa Pakistani sasa huyu bwana amekopi wapi sijui kuwa Ghailan alikamatiwa South AfricaWw ndio umeandika vzr kuliko mwenye uzi.
Asante
HUENDA UKAWA HAUMFAHAMU BONDIA HUYU [emoji91] THE KILLING MACHINE
Ipo YOUTUBE tayari @manaraTv
Gusa Link [emoji3516]Usisahau ku subscribe,Like na ku Comments
Huyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu,ameshazeeka sasa.
Yeye na kizazi chake walipigwa ban wasikanyage USA wala kusogelea ubalazi wao.
Wakati ubalozi wa Marekani unalipuliwa nchini pamoja na Nairobi Kenya, polisi na wapelelezi wetu wakaanza kukamatakamta watu ovyo eti ni washukiwa,watu wasiopungua 200 walikuwa shimoni kule Central Police, DSM.
FBI wakapata taharifa kuwa kuna suspects wamekamatwa wako central, wakaomba kuwaona. Kufika kule wakawaambia polisi wa bongo kuwa waachieni wote hakuna suspect hapa, hakuna gaidi anavaa yeboyebo amepauka kwa njaa.hawa ni vibaka tu,IGP akaambiwa u know anything about terrorism?
Jamaa wakaingia chimbo wakaomba akaunti za wafanyabiashara na vionhozi wote wa kisiasa na wanaharakati ambao wameingiziwa mpunga mrefu ndani ya miezi kadhaa (sikumbuki) Thomas Lyimo mfanyabiashara aliyekuwa na garage yake Kimara bucha na vibanda vya maziwa Dar nzima enzi hizo akajikuta matatani, ni baada ya kuonekana akaunti yake iliingiziwa pesa hazina maelezo, kipindi hicho sheria ya money laundering haijatungwa.
Kufustilia kwa kina ni kweli bomu lililolipua ubalozi liliunganishiwa kimara kwenye garage yake.
Hayo yakifanyika mastermind alikuwa kijana mdogo toka Zanzibar Ahmed Khalfan Ghailan,mshirika wa Alqaeda ambaye baadae anakuja kuwa mtu wa karibu kabisa na Osama Bin Laden
ndie alimuingizia huo mpunga kabla ya kukimbilia Nairobi na uarabuni.alikuwa kijana mfogo tu wa miaka 24 au 25, kwa sasa bwana Ghailan ni mtu mzima sasa anakaribia miaka 50 yuko Guantanamo Bay Camp chini ya ilinzi mkali.
Huwapendi USA ila una vingi vya kujifunza kwao
OKW BOBAN SUNZU
Acha kudanganya watu stori kamili iko hivi:
Ni kuwa baada ya vijana kudakwa na kusotwa ostabay hao jamaa walipokuja walienda pale ob wakatizama na kuamuru waachiwe wote. Sasa pale bomu lilipolipukia walikuta chasesi ya gari wakaibeba wakaipima zile namba na kugundu mwenye gari wamfuata mwenye gari akakamatwa baada ya hapo yule mwenye gari kumbe alikuwa kamuuzia mtu maingine akatoa vibali vyote vya kuuziana akaonyesha na baada ya hapo akaenda onyesha aliemuuzia akadakwa,hapo aieuza akaachiwa hiyu mliliki baadavha kudakwa akauliza dereva yuko wapi akamtaja na dereva akatafutwa na kudaka ndio dereva alipodakwa ndio akasema sasa amelidishwa na jamaa wakachukue mzigo garage pale bucher ndio huo mlipuko alienda beba bila yeye kujua ndio huyo mzee katika kuchunguzwa akakuta na hela kwenye acount ila hiyo hela huyu mzee aliingiziwa kama malipo ya kazi pale garege kwake ila hakujua kama ni kilipuzi,ila huyu mzee alisaidia kumtaja mteja wake na hapo ndio kazi sasa ya kuwadaka waliopanga huu mpango ambao walidakwa ni pamoja na jamaa mmoja pale ubungo (zamani wakiuza chakula cha mifugo) huyu yeye ndio aliwapokea hao jamaa kutoka majuu akawapa hifashi hadi kutekeleza hiyo shughuli na alikamatwa mpaka sasa bado wanae huko nje.
Naomba niishie hapo
Akili MTU wanguUSA balaa sana. Miezi imepita ubalozi wa US walitoa warning kuhusu matukio ya kigaidi out of nowhere tu na wabongo tukabaki tunashangaa, baadae ikasikika mkuu fln wa magaidi kakamatwa ukanda huu wa afrika. Ndo nikasanuka hawa jamaa walikua na intel mapema sana
Karibu kabisa na library ya mkoa, watu wanatom£a∆ daa🤣🤣aiseeMalindi pale Tenesco, Pub Alberto wale ni kina nani wanaokesha nje kila siku?
Kambarage alidhulumiwa nini na Makaburu hadi akawa anafadhili harakati za kijeshi za ANC Kule South Africa kwa kuanzisha kambi za kijeshi maeneo mbali mbali hapa nchini ku train ?
Jee Wareno walimdhulumu nini Kambarage hadi akapeleka JWTZ kwa miaka 16 kupigana ndani ya Msumbiji ?
kupinga dhulma sio lazima uwe umedhulumiwa wewe binafsi na ukiona kama hujadhulumiwa basi huna wajibu wa kupinga hiyo dhulma basi wewe ni mbinafsi! kosa la kina Ghailani ni kuua wasio husika kwny vita yao kwa kifupi objective ilikuwa sahihi ila walikosea Kwny approach
I like USA nomala waaaaaHuyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu,ameshazeeka sasa.
Yeye na kizazi chake walipigwa ban wasikanyage USA wala kusogelea ubalazi wao.
Wakati ubalozi wa Marekani unalipuliwa nchini pamoja na Nairobi Kenya, polisi na wapelelezi wetu wakaanza kukamatakamta watu ovyo eti ni washukiwa,watu wasiopungua 200 walikuwa shimoni kule Central Police, DSM.
FBI wakapata taharifa kuwa kuna suspects wamekamatwa wako central, wakaomba kuwaona. Kufika kule wakawaambia polisi wa bongo kuwa waachieni wote hakuna suspect hapa, hakuna gaidi anavaa yeboyebo amepauka kwa njaa.hawa ni vibaka tu,IGP akaambiwa u know anything about terrorism?
Jamaa wakaingia chimbo wakaomba akaunti za wafanyabiashara na vionhozi wote wa kisiasa na wanaharakati ambao wameingiziwa mpunga mrefu ndani ya miezi kadhaa (sikumbuki) Thomas Lyimo mfanyabiashara aliyekuwa na garage yake Kimara bucha na vibanda vya maziwa Dar nzima enzi hizo akajikuta matatani, ni baada ya kuonekana akaunti yake iliingiziwa pesa hazina maelezo, kipindi hicho sheria ya money laundering haijatungwa.
Kufustilia kwa kina ni kweli bomu lililolipua ubalozi liliunganishiwa kimara kwenye garage yake.
Hayo yakifanyika mastermind alikuwa kijana mdogo toka Zanzibar Ahmed Khalfan Ghailan,mshirika wa Alqaeda ambaye baadae anakuja kuwa mtu wa karibu kabisa na Osama Bin Laden
ndie alimuingizia huo mpunga kabla ya kukimbilia Nairobi na uarabuni.alikuwa kijana mfogo tu wa miaka 24 au 25, kwa sasa bwana Ghailan ni mtu mzima sasa anakaribia miaka 50 yuko Guantanamo Bay Camp chini ya ilinzi mkali.
Huwapendi USA ila una vingi vya kujifunza kwao
OKW BOBAN SUNZU
Mi niliwaogopa pale walipoanza kuchora picha za washukiwa wa mambo ya ugaidi uhamsho wa zanzibar enzi za kuchomwa makanisaHuyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu,ameshazeeka sasa.
Yeye na kizazi chake walipigwa ban wasikanyage USA wala kusogelea ubalazi wao.
Wakati ubalozi wa Marekani unalipuliwa nchini pamoja na Nairobi Kenya, polisi na wapelelezi wetu wakaanza kukamatakamta watu ovyo eti ni washukiwa,watu wasiopungua 200 walikuwa shimoni kule Central Police, DSM.
FBI wakapata taharifa kuwa kuna suspects wamekamatwa wako central, wakaomba kuwaona. Kufika kule wakawaambia polisi wa bongo kuwa waachieni wote hakuna suspect hapa, hakuna gaidi anavaa yeboyebo amepauka kwa njaa.hawa ni vibaka tu,IGP akaambiwa u know anything about terrorism?
Jamaa wakaingia chimbo wakaomba akaunti za wafanyabiashara na vionhozi wote wa kisiasa na wanaharakati ambao wameingiziwa mpunga mrefu ndani ya miezi kadhaa (sikumbuki) Thomas Lyimo mfanyabiashara aliyekuwa na garage yake Kimara bucha na vibanda vya maziwa Dar nzima enzi hizo akajikuta matatani, ni baada ya kuonekana akaunti yake iliingiziwa pesa hazina maelezo, kipindi hicho sheria ya money laundering haijatungwa.
Kufustilia kwa kina ni kweli bomu lililolipua ubalozi liliunganishiwa kimara kwenye garage yake.
Hayo yakifanyika mastermind alikuwa kijana mdogo toka Zanzibar Ahmed Khalfan Ghailan,mshirika wa Alqaeda ambaye baadae anakuja kuwa mtu wa karibu kabisa na Osama Bin Laden
ndie alimuingizia huo mpunga kabla ya kukimbilia Nairobi na uarabuni.alikuwa kijana mfogo tu wa miaka 24 au 25, kwa sasa bwana Ghailan ni mtu mzima sasa anakaribia miaka 50 yuko Guantanamo Bay Camp chini ya ilinzi mkali.
Huwapendi USA ila una vingi vya kujifunza kwao
OKW BOBAN SUNZU
Hata Nelson Mandela alikuwa kwny orodha ya magaidi kwa mujibu wa Report za US na akaondolewa kwny hiyo orodha baada ya kustaafuWewe utakua gaidi sio bure.