FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998. Hata kama huwapendi wamarekani, basi tuwaheshimu tu

Huyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu,ameshazeeka sasa.

Yeye na kizazi chake walipigwa ban wasikanyage USA wala kusogelea ubalazi wao.

Wakati ubalozi wa Marekani unalipuliwa nchini pamoja na Nairobi Kenya, polisi na wapelelezi wetu wakaanza kukamatakamta watu ovyo eti ni washukiwa,watu wasiopungua 200 walikuwa shimoni kule Central Police, DSM.

FBI wakapata taharifa kuwa kuna suspects wamekamatwa wako central, wakaomba kuwaona. Kufika kule wakawaambia polisi wa bongo kuwa waachieni wote hakuna suspect hapa, hakuna gaidi anavaa yeboyebo amepauka kwa njaa.hawa ni vibaka tu,IGP akaambiwa u know anything about terrorism?

Jamaa wakaingia chimbo wakaomba akaunti za wafanyabiashara na vionhozi wote wa kisiasa na wanaharakati ambao wameingiziwa mpunga mrefu ndani ya miezi kadhaa (sikumbuki) Thomas Lyimo mfanyabiashara aliyekuwa na garage yake Kimara bucha na vibanda vya maziwa Dar nzima enzi hizo akajikuta matatani, ni baada ya kuonekana akaunti yake iliingiziwa pesa hazina maelezo, kipindi hicho sheria ya money laundering haijatungwa.

Kufustilia kwa kina ni kweli bomu lililolipua ubalozi liliunganishiwa kimara kwenye garage yake.

Hayo yakifanyika mastermind alikuwa kijana mdogo toka Zanzibar Ahmed Khalfan Ghailan,mshirika wa Alqaeda ambaye baadae anakuja kuwa mtu wa karibu kabisa na Osama Bin Laden
ndie alimuingizia huo mpunga kabla ya kukimbilia Nairobi na uarabuni.alikuwa kijana mfogo tu wa miaka 24 au 25, kwa sasa bwana Ghailan ni mtu mzima sasa anakaribia miaka 50 yuko Guantanamo Bay Camp chini ya ilinzi mkali.

Huwapendi USA ila una vingi vya kujifunza kwao

OKW BOBAN SUNZU
Wacha upumbavu huyu jamaa alitengeneza body(tank) ya canter iliyotumika kubeba bomu na si bomu! Na ndio maana akaachiwa maana magaidi walienda garage yake kama wateja wengine! Na si ati alipokea mpunga mrefu! Kama hujui kitu uliza, na si kupotosha!
 
Anzisha uzi wako kenge wewe upinde unawashwa na matakooo
 
Huyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu,ameshazeeka sasa.

Yeye na kizazi chake walipigwa ban wasikanyage USA wala kusogelea ubalazi wao.

Wakati ubalozi wa Marekani unalipuliwa nchini pamoja na Nairobi Kenya, polisi na wapelelezi wetu wakaanza kukamatakamta watu ovyo eti ni washukiwa,watu wasiopungua 200 walikuwa shimoni kule Central Police, DSM.

FBI wakapata taharifa kuwa kuna suspects wamekamatwa wako central, wakaomba kuwaona. Kufika kule wakawaambia polisi wa bongo kuwa waachieni wote hakuna suspect hapa, hakuna gaidi anavaa yeboyebo amepauka kwa njaa.hawa ni vibaka tu,IGP akaambiwa u know anything about terrorism?

Jamaa wakaingia chimbo wakaomba akaunti za wafanyabiashara na vionhozi wote wa kisiasa na wanaharakati ambao wameingiziwa mpunga mrefu ndani ya miezi kadhaa (sikumbuki) Thomas Lyimo mfanyabiashara aliyekuwa na garage yake Kimara bucha na vibanda vya maziwa Dar nzima enzi hizo akajikuta matatani, ni baada ya kuonekana akaunti yake iliingiziwa pesa hazina maelezo, kipindi hicho sheria ya money laundering haijatungwa.

Kufustilia kwa kina ni kweli bomu lililolipua ubalozi liliunganishiwa kimara kwenye garage yake.

Hayo yakifanyika mastermind alikuwa kijana mdogo toka Zanzibar Ahmed Khalfan Ghailan,mshirika wa Alqaeda ambaye baadae anakuja kuwa mtu wa karibu kabisa na Osama Bin Laden
ndie alimuingizia huo mpunga kabla ya kukimbilia Nairobi na uarabuni.alikuwa kijana mfogo tu wa miaka 24 au 25, kwa sasa bwana Ghailan ni mtu mzima sasa anakaribia miaka 50 yuko Guantanamo Bay Camp chini ya ilinzi mkali.

Huwapendi USA ila una vingi vya kujifunza kwao

OKW BOBAN SUNZU
Malizia basi alivyodakwa
 
Tuwaheshimu kwakuwadharau polisi wetu!? Kwani ugaidi na Tanzania wapi na wapi!?
Kila nchi ina uzoefu wa kukabiliana na uhalifu uliokithiri kwenye nchi zao
 
Kumsaidia gaidi wa kiislamu , kwa mchaga ni ndoto
Tuache unafiki wale jamaa ni wapinga Kristo
Na mchaga anahamu na fursa , na sio hela -
Kama wangekuwa wanapenda hela sana , Basi ungekuta ni machangudoa
But ninapitaga sana Moshi , Ni hakuna machangudoa
Jidanganye uchangu ni tabia haijalishi kabila ndio maana kwenye vibanda vya wahaya wapo hadi wapare japo jina ni wahaya
 
Huyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu,ameshazeeka sasa.

Yeye na kizazi chake walipigwa ban wasikanyage USA wala kusogelea ubalazi wao.

Wakati ubalozi wa Marekani unalipuliwa nchini pamoja na Nairobi Kenya, polisi na wapelelezi wetu wakaanza kukamatakamta watu ovyo eti ni washukiwa,watu wasiopungua 200 walikuwa shimoni kule Central Police, DSM.

FBI wakapata taharifa kuwa kuna suspects wamekamatwa wako central, wakaomba kuwaona. Kufika kule wakawaambia polisi wa bongo kuwa waachieni wote hakuna suspect hapa, hakuna gaidi anavaa yeboyebo amepauka kwa njaa.hawa ni vibaka tu,IGP akaambiwa u know anything about terrorism?

Jamaa wakaingia chimbo wakaomba akaunti za wafanyabiashara na vionhozi wote wa kisiasa na wanaharakati ambao wameingiziwa mpunga mrefu ndani ya miezi kadhaa (sikumbuki) Thomas Lyimo mfanyabiashara aliyekuwa na garage yake Kimara bucha na vibanda vya maziwa Dar nzima enzi hizo akajikuta matatani, ni baada ya kuonekana akaunti yake iliingiziwa pesa hazina maelezo, kipindi hicho sheria ya money laundering haijatungwa.

Kufustilia kwa kina ni kweli bomu lililolipua ubalozi liliunganishiwa kimara kwenye garage yake.

Hayo yakifanyika mastermind alikuwa kijana mdogo toka Zanzibar Ahmed Khalfan Ghailan,mshirika wa Alqaeda ambaye baadae anakuja kuwa mtu wa karibu kabisa na Osama Bin Laden
ndie alimuingizia huo mpunga kabla ya kukimbilia Nairobi na uarabuni.alikuwa kijana mfogo tu wa miaka 24 au 25, kwa sasa bwana Ghailan ni mtu mzima sasa anakaribia miaka 50 yuko Guantanamo Bay Camp chini ya ilinzi mkali.

Huwapendi USA ila una vingi vya kujifunza kwao

OKW BOBAN SUNZU
Akili ni nyingi lazima nikasome USA hata kadigrii kamoja hata chuo cha community walahi
 
Sasa twambie walivyopata Intel za uwepo mabomu ya Nuclear Iraq na walivyoyapata.
Pale walikuwa wanamwinda tu Sadam. Ile propaganda ya nuclear ilikuwa gear ya kumdaka Sadam kama walivyomfanyia Gadafi. Mwisho wa picha wakamdaka jamaa shimoni. Na Gadaf wakamdaka chooni sijui. Wako kumlia timing Putin. Ni saa zinahesabika hapo,watamuokota jalalani. Namuona M7 nae anajipendekeza. Ashukuru tu umri umeenda. USA wameadvance sana. Taget zao hazikukosi. Mchina tu ndio kashtukia picha. Amegoma kukivamia moja kwa moja kisiwa cha Taiwan
 
Ule uzito wa ule mlipuko sitaweza kuusahau mpaka nakufa.!!!!!!!! Wakazi wa Magomeni watakuwa mashahidi kwenye hili!!!!!!!! Utafikiri lililipuliwa Magomeni!!!!!!!!!!!!!!! Kile kishindo hatari!!!!!!!!!!!!!

What next ndiyo tukajua CIA na FBI ni nani!!!!!!!! Ilala plus Magomeni ule mchakamchaka wake kama movie vile!!!!!!!!!!!!!
Wakati wa huu mlipuko huu nilikua majengo ya chuo cha IFM ulikua mshindo mzito mno
 
Jamaa awakurupuki. Kule Libya Ghadafi alipopanga kulipua ndege ya Wamarekani kwenye anga la UK. Mahesabu ilikuwa ndege idondokee baharini hivyo kufanya uchunguzi wa nini kimesababisha ajali uwe mgumu na isiwezekane. Bahati Mbaya Ndege ikaangukia kwenye makazi ya watu kule Lockerbie. Pale walipata mabaki ya electronic timer circuit iliyoundwa na Kampuni moja ya Uswis. FBI wakatia timu Uswis wakaomba wanunuzi wa zile timers boards. Kwenye list wakaona Libya walinunua circuit 12. Wakawabana waonyeshe walivyozitumia[emoji23]Ghadafi circuit 2 akakosa maelezo amezitumiaje , wakampa zile 2 zilizokutwa kwenye mabaki ya ajali ya Ndege na walipo connect the dots backward( always we connect the dots backward[emoji16]) wakaja gundua kuwa kuna majamaa wawili waliingiza mizigo yao (2-Briefcases (Samsonite- Brand) ambazo ndo mabomu yenyewe) ndani ya Ndege lakini awakupanda. (Now days ukishakaa kwenye kiti ndani ya ndege ndo mizigo yako inaingia nayo!) wale majamaa walikamatwa na wakakutwa ni majausi wabobezi wa Libya. Mmoja wamwemwachia miaka ya hivi karibuni toka jela kwa sababu za kibinadamu (ana kansa)
September 11 ndiyo hao FBI wenu waliachwa uchi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
PalIe walikuwa wanamwinda tu Sadam. Ile propaganda ya nuclear ilikuwa gear ya kumdaka Sadam kama walivyomfanyia Gadafi. Mwisho wa picha wakamdaka jamaa shimoni. Na Gadaf wakamdaka chooni sijui. Wako kumlia timing Putin. Ni saa zinahesabika hapo,watamuokota jalalani. Namuona M7 nae anajipendekeza. Ashukuru tu umri umeenda. USA wameadvance sana. Taget zao hazikukosi. Mchina tu ndio kashtukia picha. Amegoma kukivamia moja kwa moja kisiwa cha Taiwan

Pale walikuwa wanamwinda tu Sadam. Ile propaganda ya nuclear ilikuwa gear ya kumdaka Sadam kama walivyomfanyia Gadafi. Mwisho wa picha wakamdaka jamaa shimoni. Na Gadaf wakamdaka chooni sijui. Wako kumlia timing Putin. Ni saa zinahesabika hapo,watamuokota jalalani. Namuona M7 nae anajipendekeza. Ashukuru tu umri umeenda. USA wameadvance sana. Taget zao hazikukosi. Mchina tu ndio kashtukia picha. Amegoma kukivamia moja kwa moja kisiwa cha Taiwan
Endelea kuota sasa
 
Kumsaidia gaidi wa kiislamu , kwa mchaga ni ndoto
Tuache unafiki wale jamaa ni wapinga Kristo
Na mchaga anahamu na fursa , na sio hela -
Kama wangekuwa wanapenda hela sana , Basi ungekuta ni machangudoa
But ninapitaga sana Moshi , Ni hakuna machangudoa
Moshi ipi hakuna machangudoa?? Hadi mashoga wapo na wanajipanga pale malindi club
 
Back
Top Bottom