FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998. Hata kama huwapendi wamarekani, basi tuwaheshimu tu

twin bombings of Aug. 7, 1998, that destroyed the American Embassies in Nairobi, Kenya and Dar es Salaam, Tanzania.
Kuna watu wamekua matajiri kupitia huu mkasa, kuna mama kajenga majumba kibao ana estate km uchafu kila mwisho wa mwezi ubalozi wa Marekani unawaingizia pesa, wafiwa huyo mama alifiwa na mume wake analipwa mpaka kesho in $
 
Yesu na Maria !!! Mchaga na ugaidi wapi na wapi?
Yani mchaga OG amkane Yesu kisa hela? Hilo sahau
Mchaga kwaa hela hata mzazi wake ana mkana, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huna akili, i think you were not born yet or may be you were somewhere in your father's ball when that incident took place.

Wewe shangazi, 1998 tayari naroll streets za New York City kama nipo bongo wakati wewe bado upo kwenu Chitipa unakula kamasi tu.

Kwa akili yako fupi unaamini FBI walianza kwa kuangalia accounts za nchi nzima za nani aliyeingiziwa kiasi kikubwa cha pesa ili aunganishwe na hii kesi? Watu wengine mlienda shuleni kusomea ujinga.

Hii kesi ipo well documented online from start to end, leta source inayosema FBI walianza na accounts za wafanyabiashara kenge wewe.
 

Hii story ipo documented online mwanzo mwisho ila hamna kipengele cha FBI kuomba bank accounts za wafanyabiashara nchi nzima walioingiziwa pesa ili waunganishwe kwenye case ndo maana nasema source ya hicho kipande ni trust me bro 🤣
 
huna akili.
 
Wenzetu wanajua sana kufanya uchunguzi na kujoin dots aisee. Ukisoma wanavyofuatilia movement za mtu, it leaves no shed of doubt.
 
Mimi nilikuwa Malangali huko, tunasikia kwenye redio tu. Wenzetu mlikuwa mashuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…