FBI Wamuonya Mange kuelekea Kwenye Maandamano Washington DC Kwa Madai Anaweza Kudhurika

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
10,825
Reaction score
38,702
Diaspora nchini USA walipanga maandamano yatakayofanyika ubalozi wa Tanzania nchini USA Washington DC tarehe 17 Oct ambayo ni kesho.

Mange anasema akiwa anaelekea getini kuelekea kupanda ndege amekuta FBI wanamsubiri na kumuonya kuhusu kwenda kwenye maandamano wakidai anaweza kudhurika, amebaki anashangaa asijue FBI wamejuaje anaondoka wakati huo.

Kwenye Post yake aliyoiandika instagram ameandika kama ifuatavyo.

OMG!!! Sasa naboard ndege hapa naenda DC Kwenye maandamano ya kesho si nimekuta FBI wananisubiri kwenye gate? wananipa warning na wamenitaka niende kwenye office yao Jumatatu ili niwaelezee ni nini kinaendelea mpaka serikali ya Tanzania inataka kunidhuru?? OmG guys, mpaka natetemekaaaaa…
.
.
Watu wa kawaida wamenikataza kwenda kwenye haya maandamno, sasa hivi FBI wananikataza ila naachaje kwenda.? Mimi nawaambia watu wajirisk maisha yao alafu mimi mwenyewe niogope kufa? Hiyo haipo. Kama kuna mtu wao wamemtuma basi ndo itakuwa siku niliyopangiwa. Niombeeni guys
:
Ila shikamooooo Marekani, shikamoooo FBI. Jamani Ticket nimekata 24 hours ago, Wamejuaje nimekata hii ticket?

HASTA LA VICTORIA SIEMPRE (in PolePole’s voice )

Maandamano
1000069793.jpg
 
View attachment 3489626
View attachment 3489627
Watanzania tumekuwa matapeli kwenye kila nyanja,usikubali kirahisi taarifa uchwara za mbongo zihakiki na songa mbele kwa manufaa hata ya huyu mbongo mpotoshaji kwa manufaa ya tumbo lake kwa siku hata moya tuu!
 
Diaspora nchini USA walipanga maandamano yatakayofanyika ubalozi wa Tanzania nchini USA Washington DC tarehe 17 Oct ambayo ni kesho.

Mange anasema akiwa anaelekea getini kuelekea kupanda ndege amekuta FBI wanamsubiri na kumuonya kuhusu kwenda kwenye maandamano wakidai anaweza kudhurika, amebaki anashangaa asijue FBI wamejuaje anaondoka wakati huo.

Kwenye Post yake aliyoiandika instagram ameandika kama ifuatavyo.

OMG!!! Sasa naboard ndege hapa naenda DC Kwenye maandamano ya kesho si nimekuta FBI wananisubiri kwenye gate? wananipa warning na wamenitaka niende kwenye office yao Jumatatu ili niwaelezee ni nini kinaendelea mpaka serikali ya Tanzania inataka kunidhuru?? OmG guys, mpaka natetemekaaaaa…
.
.
Watu wa kawaida wamenikataza kwenda kwenye haya maandamno, sasa hivi FBI wananikataza ila naachaje kwenda.? Mimi nawaambia watu wajirisk maisha yao alafu mimi mwenyewe niogope kufa? Hiyo haipo. Kama kuna mtu wao wamemtuma basi ndo itakuwa siku niliyopangiwa. Niombeeni guys
:
Ila shikamooooo Marekani, shikamoooo FBI. Jamani Ticket nimekata 24 hours ago, Wamejuaje nimekata hii ticket?

HASTA LA VICTORIA SIEMPRE (in PolePole’s voice )

View attachment 3489626
View attachment 3489627
Dah Mange kavaa saa ya Rado.
 
Back
Top Bottom