Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,496
Kama kweli hao ni FBI. Basi wamejua sababu wamuweka under surveillance. Huwezi ukawa unaongelea na kuhamasisha mambo mazito kama maandamano ubalozini alafu wakuache tu jujuu.
It doesn't make any sense kwa mtu kama yeye kushindwa kutambua hilo, unless anadhani hao mashabiki zake ni vichwa maji, nimemu-overestimate au ni hiyo scenario yote ni fake na uigizaji tu kwa sababu kadhaa. Kujipa picha ya umuhimu na kuonyesha kwa targeted audience kwamba harakati na anayoyasema yana uzito, halisia na kweli.
Kitu cha kushangaza ni kivipi FBI wameruhusu kurekodiwa na kurushwa mtandaoni wakiongelea mambo ya Mtanzania kudhuriwa na supposedly, Serikali ya Tanzania. Sababu huko kutaleta picha mbaya in international relations with Tanzania. Kiuhalisia wasingeruhusu na wangemwambia apige kimya. Vinginevyo FBI watakuwa ni wajinga kinyume na mategemezi.
Kama hiyo scenario sio kweli basi FBI hawatakubali kupewa picha mbaya na watakanusha. Na wasipo kanusha basi watakuwa wamempuuzia na hana umuhimu huo kama anavyodhani.
Conclusion ni kuna uwezekano wa asilimia 90% ni fake scenario. Sababu alifanya kitu hichohicho in 2018.