Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,496
Tuko wachache sana tunaoelewa huu ujinga wa mitandaoKama kweli hao ni FBI. Basi wamejua sababu wamuweka under surveillance. Huwezi ukawa unaongelea na kuhamasisha mambo mazito kama maandamano ubalozini alafu wakuache tu jujuu.
It doesn't make any sense kwa mtu kama yeye kushindwa kutambua hilo, unless anadhani hao mashabiki zake ni vichwa maji, nimemu-overestimate au ni hiyo scenario yote ni fake na uigizaji tu kwa sababu kadhaa. Kujipa picha ya umuhimu na kuonyesha kwa targeted audience kwamba harakati na anayoyasema yana uzito, halisia na kweli.
Kitu cha kushangaza ni kivipi FBI wameruhusu kurekodiwa na kurushwa mtandaoni wakiongelea mambo ya Mtanzania kudhuriwa na supposedly, Serikali ya Tanzania. Sababu huko kutaleta picha mbaya in international relations with Tanzania. Kiuhalisia wasingeruhusu na wangemwambia apige kimya. Vinginevyo FBI watakuwa ni wajinga kinyume na mategemezi.
Kama hiyo scenario sio kweli basi FBI hawatakubali kupewa picha mbaya na watakanusha. Na wasipo kanusha basi watakuwa wamempuuzia na hana umuhimu huo kama anavyodhani.
Conclusion ni kuna uwezekano wa asilimia 90% ni fake scenario. Sababu alifanya kitu hichohicho in 2018.
We mpumbavu ,yaani FBI wafumbie macho plot na threat ya MTU ndani ya nchi yao kuuawa au kuumizwa,? Una akili timamu we we ?Kama kweli hao ni FBI. Basi wamejua sababu wamuweka under surveillance. Huwezi ukawa unaongelea na kuhamasisha mambo mazito kama maandamano ubalozini alafu wakuache tu jujuu.
It doesn't make any sense kwa mtu kama yeye kushindwa kutambua hilo, unless anadhani hao mashabiki zake ni vichwa maji, nimemu-overestimate au ni hiyo scenario yote ni fake na uigizaji tu kwa sababu kadhaa. Kujipa picha ya umuhimu na kuonyesha kwa targeted audience kwamba harakati na anayoyasema yana uzito, halisia na kweli.
Kitu cha kushangaza ni kivipi FBI wameruhusu kurekodiwa na kurushwa mtandaoni wakiongelea mambo ya Mtanzania kudhuriwa na supposedly, Serikali ya Tanzania. Sababu huko kutaleta picha mbaya in international relations with Tanzania. Kiuhalisia wasingeruhusu na wangemwambia apige kimya. Vinginevyo FBI watakuwa ni wajinga kinyume na mategemezi.
Kama hiyo scenario sio kweli basi FBI hawatakubali kupewa picha mbaya na watakanusha. Na wasipo kanusha basi watakuwa wamempuuzia na hana umuhimu huo kama anavyodhani.
Conclusion ni kuna uwezekano wa asilimia 90% ni fake scenario. Sababu alifanya kitu hichohicho in 2018.
we jidanganye tu kwa taarifa yako USA kwa tekinolojia waliyonayo wanaweza kuwalinda wananchi wao kwa kiwango kikubwa sana hivi unadhani hata haya yanayoendelea hapa bongo marekani wakitaka kuwafichua wahuni inashindikana si swala la dakika 0 tu. sema marekani wanakaa kimya kwa maslahi yao binafsi ushenzi unaofanywa na viongozi ndio ujinga huohuo USA huutumia katika kufanikisha deals zao mbalimbali hapa nchini.Kama kweli hao ni FBI. Basi wamejua sababu wamuweka under surveillance. Huwezi ukawa unaongelea na kuhamasisha mambo mazito kama maandamano ubalozini alafu wakuache tu jujuu.
It doesn't make any sense kwa mtu kama yeye kushindwa kutambua hilo, unless anadhani hao mashabiki zake ni vichwa maji, nimemu-overestimate au ni hiyo scenario yote ni fake na uigizaji tu kwa sababu kadhaa. Kujipa picha ya umuhimu na kuonyesha kwa targeted audience kwamba harakati na anayoyasema yana uzito, halisia na kweli.
Kitu cha kushangaza ni kivipi FBI wameruhusu kurekodiwa na kurushwa mtandaoni wakiongelea mambo ya Mtanzania kudhuriwa na supposedly, Serikali ya Tanzania. Sababu huko kutaleta picha mbaya in international relations with Tanzania. Kiuhalisia wasingeruhusu na wangemwambia apige kimya. Vinginevyo FBI watakuwa ni wajinga kinyume na mategemezi.
Kama hiyo scenario sio kweli basi FBI hawatakubali kupewa picha mbaya na watakanusha. Na wasipo kanusha basi watakuwa wamempuuzia na hana umuhimu huo kama anavyodhani.
Conclusion ni kuna uwezekano wa asilimia 90% ni fake scenario. Sababu alifanya kitu hichohicho in 2018.
we mshamba sana na upo nyuma ya muda sana kama serikali hii ndio ina watu design zenu basi kazi ipo isee!Kwamba wamejuaje anapanda ndegeπ€£π€£π€£π€£ akili za kitoto kwa watoto wenzie
Wamuweke under surveillance kivipi ? hivi unaelewa hata unachoandika? au ni mihemko tu imekujaa?Kama kweli hao ni FBI. Basi wamejua sababu wamuweka under surveillance. Huwezi ukawa unaongelea na kuhamasisha mambo mazito kama maandamano ubalozini alafu wakuache tu jujuu.
Wewe kweli ni kiazi.Kitu cha kushangaza ni kivipi FBI wameruhusu kurekodiwa na kurushwa mtandaoni wakiongelea mambo ya Mtanzania kudhuriwa na supposedly, Serikali ya Tanzania. Sababu huko kutaleta picha mbaya in international relations with Tanzania. Kiuhalisia wasingeruhusu na wangemwambia apige kimya. Vinginevyo FBI watakuwa ni wajinga kinyume na mategemezi.
US hawafanyi kazi kama hao nyumbu wenu, yaani kila unalozungumza unataka kuoanisha utendaji wa kazi wa US na TZ, kitu ambacho ni mbingu na ardhi.Kama hiyo scenario sio kweli basi FBI hawatakubali kupewa picha mbaya na watakanusha. Na wasipo kanusha basi watakuwa wamempuuzia na hana umuhimu huo kama anavyodhani.
FBI hawafuatilii mtu kwa sababu ni maarufu ,watafuatilia pale tu kama kuna threat alert yoyote inayoonekana hata kama huyo mtu si raia, mradi yupo kwenye ardhi ya US, wana wajibu wa kumpa tahadhari ya usalama. Ulivyo mshamba unafahamu FBI kukufuata hadi uwe mtu flani maarufu mwenye pesa nyingi.Mwongo huyo sheitwani,
FBI wamfate ye nani kwani?
Eti ataumizwa
Ni takataka tu na kama kuja ICE watamkuta na kumuondoa mazima.
Mushauzwa hapo waandamanaji
Tarehe hiyo kuna kila sababu ya kutoka, kupiga kura kusherehekea besdei π
Issue hapo si serikali kuwa na taarifa za safari za watu, issue ni wao walivyo active, katika nchi ambayo ina wananchi karibu milioni 400, na ndege zinasafiri kwa wingi kwenda na kurudi ndani ya US na nje ila wanaweza kufuatilia mtu mmoja baada ya mwingine si suala la kulichukulia kwa urahisi.Kwamba wamejuaje anapanda ndegeπ€£π€£π€£π€£ akili za kitoto kwa watoto wenzie
Diaspora wanamkubali SSHMaandamano View attachment 3489631
Sipendagi kubishana na wanuka Mavi humuπ©π©π©π©π©π©π©π©FBI hawafuatilii mtu kwa sababu ni maarufu ,watafuatilia pale tu kama kuna threat alert yoyote inayoonekana hata kama huyo mtu si raia, mradi yupo kwenye ardhi ya US, wana wajibu wa kumpa tahadhari ya usalama. Ulivyo mshamba unafahamu FBI kukufuata hadi uwe mtu flani maarufu mwenye pesa nyingi.
We nae mweupe tu hujui lolote, masuala ya ICE yameingiaje hapo? yule kajipata tayari na ni mlipa kodi mzuri, ni mtu potential kama unasubiri awe deported utasubiri sana kiongozi.
Mshangazi tuliza hasira, toka umefiwa na mmeo ni kisirani muda wote. Kuwa mjane kazi kweli kweli.Sipendagi kubishana na wanuka Mavi humuπ©π©π©π©π©π©π©π©