FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Binafsi i always used to root for Arsenal coz of Thiery Henry (mmh mhh mmmh n his fine self!) but alivyohamia Barca i kinda lost interest. then i was kinda supporting Chelsea. What team should i support on Sunday, espeacially if i have the opportunity to go to the stadium?? Nivae jezi gani? (Clearly, i'm no chronic football fan!!)

Sandra, Najua damu yako hipo Imarati. Njoo ushangilie timu yenye kucheza mpira na si 'mbio kama za American Footbal' za Tinga tinga wa Manu.
 
Kama waamuzi wenyewe ni kama wale wa jana basi si ajabu ikawa another day light robbery.

BAK, lakini yule mzee wa jana alianza kwanza kwa kuwabana Barca. Ukishaona refa ametoa kadi nyekundu ujue basi 'guilty conscious' itakuwa inamsuta matokeo yake ni kama ya jana.

Kuna kile kibabu cha kitaliano inabidi wakibembeleze kitoke huko kwenye kustaafu kuja kuchezesha hiyo mechi. Kile kibabu ni kibabe hafu kinajua kucheza na msongo wa gemu uwanjani.
 
Past encounters: Barça v United
07 May 2009, 22:02

FC Barcelona and Manchester United FC have produced some memorable European nights and with both sides playing some of the most exciting football in Europe this season another classic encounter is expected at the UEFA Champions League final in Rome on 27 May. They have played each other nine times in European competition with United winning three and Barça two, and it is Sir Alex Ferguson's side who have had more to cheer down the years after beating their Catalan rivals to lift the UEFA Cup Winners' Cup in 1991 and in the semi-finals of the UEFA Champions League last season.

2007/08 UEFA Champions League semi-finals
Barcelona 0-0 Manchester United
Manchester United 1-0 Barcelona (agg: 1-0)

The five previous meetings between the two teams had served up 27 goals, but with so much at stake the focus this time was on defence. Playing in their first match at the Camp Nou since winning the UEFA Champions League in 1999, United got off to a flying start and were awarded a third-minute penalty, only for the competition's leading scorer Cristiano Ronaldo to uncharacteristically fire wide. United were on the back foot for much of the match but held out for a goalless draw before winning the tie at Old Trafford. Paul Scholes, who had missed the 1999 final through suspension, ensured his side got back there again with a spectacular 14th-minute strike.

1998/99 UEFA Champions League group stage
Manchester United 3-3 Barcelona
Barcelona 3-3 Manchester United

The teams played out two thrilling 3-3 draws in Group D, and though there are no survivors from that Barcelona side in the team today five of the current United squad were involved. Ryan Giggs and Scholes scored the opening two goals of the September 1998 game at Old Trafford, while Wes Brown, Gary Neville and Scholes all figured in the return at the Camp Nou two months later. Rivaldo earned Barcelona a point with a 73rd-minute strike in that game, his second of the night, but it was not enough to stop them crashing out of the competition. United would return to the Camp Nou six months later to lift the trophy.

1994/95 UEFA Champions League group stage
Manchester United 2-2 Barcelona
Barcelona 4-0 Manchester United

Scholes made his European debut as a 67th-minute substitute as United fought back to earn a 2-2 draw at Old Trafford, but they were taught a lesson in the return. Six months after losing 4-0 to AC Milan in the final, Johan Cruyff's Barcelona were in commanding form themselves, a pair of goals from Hristo Stoichkov and strikes from Romário and Albert Ferrer completing a 4-0 win. The present Barcelona coach, Josep Guardiola, was in the Blaugrana lineup that day, while for United Giggs played for 79 minutes before being replaced by Scholes.

1991 UEFA Cup Winners' Cup final
Manchester United 2-1 Barcelona

Sir Alex lifted his first European trophy for United eight years after having won it with Aberdeen FC thanks to a pair of Mark Hughes goals at De Kuip in Rotterdam. Playing against his former club, Hughes struck in the 67th and 74th minutes to put United in control, but a Ronald Koeman free-kick with eleven minutes to play set up a tense finale. Despite Nando's 84th-minute dismissal, Cruyff's side pressed to the end but could not prevent United from marking the return of English clubs to European competition with a trophy.

1983/84 UEFA Cup Winner's Cup quarter-final
Barcelona 2-0 Manchester United
Manchester United 3-0 Barcelona (agg: 3-2)

Cesar Luis Menotti's Barcelona looked on course for a place in the semi-finals after a 2-0 first-leg victory at the Camp Nou, but United came storming back at Old Trafford. Diego Maradona, a substitute in the first leg, was given a starting role but it was United's 'Captain Marvel', Bryan Robson, who stole the show, giving United hope with a 21st-minute strike before pulling Ron Atkinson's side level six minutes after the break. Frank Stapleton added the third and decisive goal a minute later to send United through to the semi-finals where they lost to Juventus

uefa.com
 
Maoni ya Mbu;

...kuna wachezaji wana Gundu!...

Ashley Cole na Thierry Henry! Kamwe hawataweza kuvaa medali za Champions League, wala World Cup wanazozitafuta kwa udi na uvumba.

Kwa "gundu" hilo, mwaka jana Chelsea ilifungwa fainali na Man U, Ashley Cole akiwa mchezaji siku hiyo. Mwaka huu wametolewa na Barca kwenye nusu final.
Mbu naona list yako ya hao wenye gundu ime-miss MICHAEL BALACK
 
Barca naona kama watanyakuwa Mwali kutokana na Classic footballing wanayocheza. Ingawa mpira ni mpira lakini nafasi kubwa anayo Barca. Ni mtazamo tu.
 
Mbu naona list yako ya hao wenye gundu ime-miss MICHAEL BALACK

...Balack nilidhani alitwaa sumthing na Bayern Leverkussen miaka ile? anyway, naona kumbukumbu yangu imepotea... Ni kweli Balack naye umri unakimbilia mgongoni sasa. Alikimbilia Bayern Munich, akaula na chuya... kaja Chelsea kula pensheni yake tu sasa.

Current gifted-generation ya ENGLAND national team ambao pia huchezea Chelsea, (Terry, Lampard, na Cole) kushindwa kutwaa World Cup, European Cup na Champions League ni pigo kubwa sana kwenye CV/Resume zao.

Ashley Cole ndio namhurumia, yeye ni Arsenal damu... kakimbilia Chelsea apate medali ya CL, kaikosa!, ....huenda next naye akakimbilia Barcelona na Lampard Inter Milan.
 
Nyie man u mnacheza eeh? mmelilia bakora sasa mmekutana na kirungu....
waulizeni wenzenu chelsea na fomesheni yao ya 9-1-0 walifika wapi....

....hamuwezi kupambana na viungo bora duniani kama A.I na xavi lazima mshughulikie mwendo may 27
 
Maoni ya Mbu;

...kuna wachezaji wana Gundu!...

Ashley Cole na Thierry Henry! Kamwe hawataweza kuvaa medali za Champions League, wala World Cup wanazozitafuta kwa udi na uvumba.

Hawa wawili waliondoka Arsenal wakiwa miongoni mwa ile invincibles team, waliotwaa FA cup, na Premier league title. Wachezaji hawa wawili (kutokana na majeraha) hawakufikiriwa wangecheza Champions league final 2006 baina ya Arsenal vs Barcelona, ingawa dakika za mwisho Arsene Wenger aliwapanga. Hata katika team zao za taifa, matokeo yamekuwa mabaya pamoja nakwamba wachezaji hawa wana vipaji pekee!

Kwa "gundu" hilo, mwaka jana Chelsea ilifungwa fainali na Man U, Ashley Cole akiwa mchezaji siku hiyo. Mwaka huu wametolewa na Barca kwenye nusu final.

May 27, Thierry Henry atakuwemo kwenye team, lakini Man United ndio wataoibuka kidedea. Binafsi nipo neutral, kwani naamini itakuwa mwisho mzuri kwa Man United Great players, Ryan Giggs na Paul Scholes...

Wakati huo huo kelele za kina Icadon zitani bore hapa, hivyo nitajisikia raha Josep "Pep" Guardiola, akitwaa rasmi taji la "the special one!"

Signed; ....Bzzzzzzzzz!

Mambo ya Gundu yapo hukuhuku kwetu, kwa wenzetu hakuna kitu kama hicho. Kule ni ujuzi tu ndio unao-matter! Siku hiyo ManU ni kichapo tu watapata
 
Nyie man u mnacheza eeh? mmelilia bakora sasa mmekutana na kirungu....
waulizeni wenzenu chelsea na fomesheni yao ya 9-1-0 walifika wapi....

....hamuwezi kupambana na viungo bora duniani kama A.I na xavi lazima mshughulikie mwendo may 27
Mkubwa ulikuwa wapi siku zote hizo,hao XAVI & INIESTA tulishacheza nao na tukawapa dozi
Last season tumewafunga Barca then Chelsea so tusubiri tuone dawa yenu ni kujaza viungo kati
 
manu wana kila sababu ya kushinda gemu hiyo kwani kosa la baca ni formation moja tu ukiwabana hawana njia mbadala, kosa la chelse ni kushindwa katika counter attack manu wana mbinu ya counter attack hiyo ndio iliyowapa ushindi na arsenal
 
Mkubwa ulikuwa wapi siku zote hizo,hao XAVI & INIESTA tulishacheza nao na tukawapa dozi
Last season tumewafunga Barca then Chelsea so tusubiri tuone dawa yenu ni kujaza viungo kati

Mkuu Belo, ata The Bluez walikuwa na mambo hayo hayo ya kuangalia history ohh Barca yuko hivi mara vile. Sasa hivi mjue kwamba the trio lazima wawaue na Vidic anakula nyekundu baada ya kupigwa chenga ya maudhi na Messi kisha Messi akawa anaangaliana na G. Keeper>

Hayo ndo yatakayojiri siku hiyo.
 
manu wana kila sababu ya kushinda gemu hiyo kwani kosa la baca ni formation moja tu ukiwabana hawana njia mbadala, kosa la chelse ni kushindwa katika counter attack manu wana mbinu ya counter attack hiyo ndio iliyowapa ushindi na arsenal
fomesheni gani? uliza watu wanaojua soka kukutana na barca ni kiyama kwa timu yoyote duniani ferga leo hii halali anajiuliza atawezaje kukabiliana na the best club in the world yenye uchezaji wa kufurahisha na sio butua butua za man u
 
Kama waamuzi wenyewe ni kama wale wa jana basi si ajabu ikawa another day light robbery.

...Nakuunga Mkono, Mkuu! Kuna Tetesi Kwamba Kulikuwa na Mpango Maalumu wa Kuhakikisha Kwamba Kunakuwa na 'The Dream Final' kati ya ManU na Barcelona. Narudia, Kuna Tetesi...!
 
...Nakuunga Mkono, Mkuu! Kuna Tetesi Kwamba Kulikuwa na Mpango Maalumu wa Kuhakikisha Kwamba Kunakuwa na 'The Dream Final' kati ya ManU na Barcelona. Narudia, Kuna Tetesi...!

Inamaanisha ndo maana hata Chelsia awakutaka kushambulia pamoja na kuwa mbele kwa bao moja? Lakini ukiangalia wale mashabikiwa chelsia siku hiyo walikuwa wametota pamoja na kuwa walikuwa mbele kwa bao moja. Refa aliharibu hiyo mechi lakini pia upande wa pili wa shilingi nao Barca wanaweza kusema refa alitaka Chelsia waende Roma hasa baada ya hile kadi nyekundu.

Kama Guus alivyosema kuprove consipiracy ni kazi sana. Tukubali yaishe, The Best teams wanakuna huko Roma.
 
Mkuu Belo, ata The Bluez walikuwa na mambo hayo hayo ya kuangalia history ohh Barca yuko hivi mara vile. Sasa hivi mjue kwamba the trio lazima wawaue na Vidic anakula nyekundu baada ya kupigwa chenga ya maudhi na Messi kisha Messi akawa anaangaliana na G. Keeper>

Hayo ndo yatakayojiri siku hiyo.
Hizo kadi nyekundu kwetu hatuogopi cha msingi ni kupata ushindi, hata juzi na nyie (Arsenal) Fletcher kapewa red but still tuliwapa kichapo.Kwenye haya mashindano usitulinganishe na Chelsea wala Arsenal kwani hao wote ni wasindikizaji
 
...Nakuunga Mkono, Mkuu! Kuna Tetesi Kwamba Kulikuwa na Mpango Maalumu wa Kuhakikisha Kwamba Kunakuwa na 'The Dream Final' kati ya ManU na Barcelona. Narudia, Kuna Tetesi...!
MANU hawajabebwa labda Barca
 
MANU hawajabebwa labda Barca

Kweli kabisa, Man united wamepita kihalali kabisa, Barca wame-fluke.

Hakuna mtu ajua nini kitatokea, hizo ni wishes zenu tu, cha muhimu tutarajie mechi kali.
 
Je wanaweza kushinda hiyo rufaa?

Barca to contest Abidal red card

_45756467_abidal226gi.jpg
Abidal was sent off for an alleged trip on Nicolas Anelka

Barcelona will appeal against the bans which are set to keep defenders Eric Abidal and Dani Alves out of the Champions League final. Abidal was sent off for a trip on Nicolas Anelka in the semi-final against Chelsea last week.

And Alves picked up a yellow card for a challenge on Ashley Cole, his second booking of the knockout stages.

"Of course we'll appeal the cards for Abidal and Alves out of respect for them," said Barca coach Pep Guardiola.

The performance of referee Tom Henning Ovrebo at Stamford Bridge has come in for huge criticism, but there is no formal procedure at Uefa for overturning refereeing decisions.

Barca will face Manchester United in the Champions League final in Rome on 27 May, and the defending champions are also attempting to get a red card ruled out.
o.gif

United midfielder Darren

Fletcher was sent off in his side's semi-final, second leg against Arsenal.

Fletcher was dismissed following a challenge on Cesc Fabregas inside the area in which he appeared to get a touch of the ball, and Guardiola believes the Scotland midfielder should also be allowed to play.

But United boss Sir Alex Ferguson has admitted he is not optimistic about the chances of Uefa allowing Fletcher to play in the final.
http://www.zoopy.com/data/media/40524/original.jpg
 
Hawa lengo lao ni kuleta mizengwe ili ile rufaa ya Fletcher isifanikiwe tu, hakuna sababu nyingine.
UEFA wataishia kuzipiga chini rufaa zote.
 
Henry doubtful for European final

_45753657_henry226.jpg
Henry trained before the match at Chelsea but did not feature

Barcelona striker Thierry Henry is a major doubt for the Champions League final against Manchester United on 27 May due to a knee ligament injury. The Frenchman missed Wednesday's semi-final, second leg 1-1 draw with Chelsea after twisting his knee during last weekend's 6-2 win over Real Madrid.
A statement on the Barca website said: "His presence is more than doubtful
going into the match in Rome.
"His participation there in the final is not guaranteed."

The former Arsenal forward trained with his Barca team-mates ahead of the Stamford Bridge match but did not make the substitutes' bench for the game, which the Spanish side won on away goals.
o.gif
The 31-year-old will not feature in the Spanish Cup final against Athletic Bilbao next Wednesday and is also set to miss Barca's three remaining Spanish league fixtures.
Henry scored twice in Barcelona's thrashing of Real Madrid although he was withdrawn after 60 minutes.

Henry is having specialist treatment in a bid to get him fit for the United match.

Source:BBC SPORT | Football | Europe | Henry doubtful for European final
 
Back
Top Bottom