FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Chelsea wakitaka uhakika zaidi wasibabidili sana formation yao waliyotumia leo, ila tu wacheze na strikers wawili ili wapate kagoli angalau kamoja. Lakini wakijitia wanajua kushambulia, wote wawe wanapanda na kuacha mianya nyuma kwa kuwa tu wanacheza nyumbani- wataumia! Barcelona is Barcleona.
 
Barcelona wakicheza na timu ya England hamna lolote, MESSI jana kapotezwa kabisa kama Drogba angefunga safari yao ilikuwa tayari sasa Barca wako kwenye Pressure kubwa ,wikiendi wanacheza na Madrid na gap limebaki pointi 4 then Jumatano wanamalizia na Chelsea
 
Kwa kiwango hafifu cha mashambulizi walichoonesha Chelsea, Barca hawahitaji kuwa at their best kuwanyofoa. Nasubiri tu kuona kilio cha mtu mzima Invisible..naona atakuwa anajiandaa kabisa kufanya critical JF update siku hiyo.. 😀
 
Kwa kiwango hafifu cha mashambulizi walichoonesha Chelsea, Barca hawahitaji kuwa at their best kuwanyofoa. Nasubiri tu kuona kilio cha mtu mzima Invisible..naona atakuwa anajiandaa kabisa kufanya critical JF update siku hiyo.. 😀

Ushamshitukia eh, jamaa wakicheza mechi kubwa uwa anakuja dakiak 5 za mwisho.
 
utd-arse-WAR-TOP.jpg


Arsenal
Captain Cesc Fabregas (ankle/knee) and defender Johan Djourou (knee) also got through training this morning but leading scorer Robin van Persie (groin) and left-back Gael Clichy (back) remain sidelined, while Russian midfielder Andrey Arshavin is ineligible. Centre-half William Gallas (knee) and long-term absentee Tomas Rosicky will miss the rest of the campaign.

Manchester United
Only Gary Neville is missing after injuring his foot last week but John O'Shea is fit and could start at right-back at Old Trafford ahead of 18-year-old Brazilian Rafael.
 
teves leo balaa eeehh! twende cha pili sasa! leo mpaka kieleweke!
 
Kila la kheri baada ya 90 minutes.

Mkuu Shetani wakunde wamekata tiketi ya Roma kuilainiiii.
Leo ze Bluz wamalizie kazi waliyoinza ili tuwe mashuhuda wa dejavour yetu.
😀
 
Hayawi hayawi yamekuwa. Timu Bora zaidi duniani ikiwa na wachezaji kumi tu! imeweza kufuta ndoto za Guus na The Bluez za safari yao kuelekea Roma. Alikuwa ni Iniesta katika dakika ya 93 aliyewaliza mapema washabiki wa The Bluez. Hiyo ilikuwa ni baada ya kuvunja ngozo ya daraja muhimu kuelekea huko Roma.

Nani wa kuwazuia the trio strickers? Vidic ? Ferdinand? O'shea? Brown?

Karibuni katika huu mjadala.
 
SHADOW Mbona hujawazungumzia MANU au kwa vile walikupa kipigo kitakatifu
 
Icadon,

katengeza video mtani wangu.Nd'o wakati wako huu eti.
 
Belo, bado nakusanya data zao!


Nilifikiri Data za Man Utd zipo wazi zaidi kuliko za Barca au kwa sababu Liver, Arsenal na Chelsea hawamo?

Najua sasa hivi wengi mtabadili timu hasa kwenye fainali hii ya May 27.

Ila Kila Wanaume/ Mashetani Wekundu
 
Nilifikiri Data za Man Utd zipo wazi zaidi kuliko za Barca au kwa sababu Liver, Arsenal na Chelsea hawamo?

Najua sasa hivi wengi mtabadili timu hasa kwenye fainali hii ya May 27.

Ila Kila Wanaume/ Mashetani Wekundu

Kunta Kinte, kazi mnayo kuwazuia the trios tena safari hii wote watakuwa wako fiti. Nemanja Vidic ataishia kula kadi nyekudu baada ya kuzungukwa na Messi Siku hiyo. Iniesta atamfanya Ronaldo asijulikane kama yupo uwanjani.

Lazima mchezeshwe lambada kama The Blues!

Adios...
 
Maoni ya Mbu;

...kuna wachezaji wana Gundu!...

Ashley Cole na Thierry Henry! Kamwe hawataweza kuvaa medali za Champions League, wala World Cup wanazozitafuta kwa udi na uvumba.

Hawa wawili waliondoka Arsenal wakiwa miongoni mwa ile invincibles team, waliotwaa FA cup, na Premier league title. Wachezaji hawa wawili (kutokana na majeraha) hawakufikiriwa wangecheza Champions league final 2006 baina ya Arsenal vs Barcelona, ingawa dakika za mwisho Arsene Wenger aliwapanga. Hata katika team zao za taifa, matokeo yamekuwa mabaya pamoja nakwamba wachezaji hawa wana vipaji pekee!

Kwa "gundu" hilo, mwaka jana Chelsea ilifungwa fainali na Man U, Ashley Cole akiwa mchezaji siku hiyo. Mwaka huu wametolewa na Barca kwenye nusu final.

May 27, Thierry Henry atakuwemo kwenye team, lakini Man United ndio wataoibuka kidedea. Binafsi nipo neutral, kwani naamini itakuwa mwisho mzuri kwa Man United Great players, Ryan Giggs na Paul Scholes...

Wakati huo huo kelele za kina Icadon zitani bore hapa, hivyo nitajisikia raha Josep "Pep" Guardiola, akitwaa rasmi taji la "the special one!"

Signed; ....Bzzzzzzzzz!
 
Binafsi i always used to root for Arsenal coz of Thiery Henry (mmh mhh mmmh n his fine self!) but alivyohamia Barca i kinda lost interest. then i was kinda supporting Chelsea. What team should i support on Sunday, espeacially if i have the opportunity to go to the stadium?? Nivae jezi gani? (Clearly, i'm no chronic football fan!!)
 
Kama waamuzi wenyewe ni kama wale wa jana basi si ajabu ikawa another day light robbery.
 
Back
Top Bottom