Binafsi i always used to root for Arsenal coz of Thiery Henry (mmh mhh mmmh n his fine self!) but alivyohamia Barca i kinda lost interest. then i was kinda supporting Chelsea. What team should i support on Sunday, espeacially if i have the opportunity to go to the stadium?? Nivae jezi gani? (Clearly, i'm no chronic football fan!!)
Kama waamuzi wenyewe ni kama wale wa jana basi si ajabu ikawa another day light robbery.
Mbu naona list yako ya hao wenye gundu ime-miss MICHAEL BALACKMaoni ya Mbu;
...kuna wachezaji wana Gundu!...
Ashley Cole na Thierry Henry! Kamwe hawataweza kuvaa medali za Champions League, wala World Cup wanazozitafuta kwa udi na uvumba.
Kwa "gundu" hilo, mwaka jana Chelsea ilifungwa fainali na Man U, Ashley Cole akiwa mchezaji siku hiyo. Mwaka huu wametolewa na Barca kwenye nusu final.
Mbu naona list yako ya hao wenye gundu ime-miss MICHAEL BALACK
Maoni ya Mbu;
...kuna wachezaji wana Gundu!...
Ashley Cole na Thierry Henry! Kamwe hawataweza kuvaa medali za Champions League, wala World Cup wanazozitafuta kwa udi na uvumba.
Hawa wawili waliondoka Arsenal wakiwa miongoni mwa ile invincibles team, waliotwaa FA cup, na Premier league title. Wachezaji hawa wawili (kutokana na majeraha) hawakufikiriwa wangecheza Champions league final 2006 baina ya Arsenal vs Barcelona, ingawa dakika za mwisho Arsene Wenger aliwapanga. Hata katika team zao za taifa, matokeo yamekuwa mabaya pamoja nakwamba wachezaji hawa wana vipaji pekee!
Kwa "gundu" hilo, mwaka jana Chelsea ilifungwa fainali na Man U, Ashley Cole akiwa mchezaji siku hiyo. Mwaka huu wametolewa na Barca kwenye nusu final.
May 27, Thierry Henry atakuwemo kwenye team, lakini Man United ndio wataoibuka kidedea. Binafsi nipo neutral, kwani naamini itakuwa mwisho mzuri kwa Man United Great players, Ryan Giggs na Paul Scholes...
Wakati huo huo kelele za kina Icadon zitani bore hapa, hivyo nitajisikia raha Josep "Pep" Guardiola, akitwaa rasmi taji la "the special one!"
Signed; ....Bzzzzzzzzz!
Mkubwa ulikuwa wapi siku zote hizo,hao XAVI & INIESTA tulishacheza nao na tukawapa doziNyie man u mnacheza eeh? mmelilia bakora sasa mmekutana na kirungu....
waulizeni wenzenu chelsea na fomesheni yao ya 9-1-0 walifika wapi....
....hamuwezi kupambana na viungo bora duniani kama A.I na xavi lazima mshughulikie mwendo may 27
Mkubwa ulikuwa wapi siku zote hizo,hao XAVI & INIESTA tulishacheza nao na tukawapa dozi
Last season tumewafunga Barca then Chelsea so tusubiri tuone dawa yenu ni kujaza viungo kati
fomesheni gani? uliza watu wanaojua soka kukutana na barca ni kiyama kwa timu yoyote duniani ferga leo hii halali anajiuliza atawezaje kukabiliana na the best club in the world yenye uchezaji wa kufurahisha na sio butua butua za man umanu wana kila sababu ya kushinda gemu hiyo kwani kosa la baca ni formation moja tu ukiwabana hawana njia mbadala, kosa la chelse ni kushindwa katika counter attack manu wana mbinu ya counter attack hiyo ndio iliyowapa ushindi na arsenal
Kama waamuzi wenyewe ni kama wale wa jana basi si ajabu ikawa another day light robbery.
...Nakuunga Mkono, Mkuu! Kuna Tetesi Kwamba Kulikuwa na Mpango Maalumu wa Kuhakikisha Kwamba Kunakuwa na 'The Dream Final' kati ya ManU na Barcelona. Narudia, Kuna Tetesi...!
Hizo kadi nyekundu kwetu hatuogopi cha msingi ni kupata ushindi, hata juzi na nyie (Arsenal) Fletcher kapewa red but still tuliwapa kichapo.Kwenye haya mashindano usitulinganishe na Chelsea wala Arsenal kwani hao wote ni wasindikizajiMkuu Belo, ata The Bluez walikuwa na mambo hayo hayo ya kuangalia history ohh Barca yuko hivi mara vile. Sasa hivi mjue kwamba the trio lazima wawaue na Vidic anakula nyekundu baada ya kupigwa chenga ya maudhi na Messi kisha Messi akawa anaangaliana na G. Keeper>
Hayo ndo yatakayojiri siku hiyo.
MANU hawajabebwa labda Barca...Nakuunga Mkono, Mkuu! Kuna Tetesi Kwamba Kulikuwa na Mpango Maalumu wa Kuhakikisha Kwamba Kunakuwa na 'The Dream Final' kati ya ManU na Barcelona. Narudia, Kuna Tetesi...!
MANU hawajabebwa labda Barca
Hawa lengo lao ni kuleta mizengwe ili ile rufaa ya Fletcher isifanikiwe tu, hakuna sababu nyingine.Je wanaweza kushinda hiyo rufaa?
Barca to contest Abidal red card
Abidal was sent off for an alleged trip on Nicolas Anelka
Barcelona will appeal against the bans which are set to keep defenders Eric Abidal and Dani Alves out of the Champions League final. Abidal was sent off for a trip on Nicolas Anelka in the semi-final against Chelsea last week.
And Alves picked up a yellow card for a challenge on Ashley Cole, his second booking of the knockout stages.
"Of course we'll appeal the cards for Abidal and Alves out of respect for them," said Barca coach Pep Guardiola.
The performance of referee Tom Henning Ovrebo at Stamford Bridge has come in for huge criticism, but there is no formal procedure at Uefa for overturning refereeing decisions.
Barca will face Manchester United in the Champions League final in Rome on 27 May, and the defending champions are also attempting to get a red card ruled out.
United midfielder Darren
Fletcher was sent off in his side's semi-final, second leg against Arsenal.
Fletcher was dismissed following a challenge on Cesc Fabregas inside the area in which he appeared to get a touch of the ball, and Guardiola believes the Scotland midfielder should also be allowed to play.
But United boss Sir Alex Ferguson has admitted he is not optimistic about the chances of Uefa allowing Fletcher to play in the final.