harafu kwanini kila uzi we upo, mara Arsenal, mara Barca, mara Chelsea.
We timu gani?
Hahahahaha!!! Umenifurahisha ALEYN!!! Nikiwa Uingereza timu yangu ni Man U, Hispania ni Barcelona, Italy si sana but As Roma nawapenda, Ujerumani mhh siwapendi lakin Bayern Munich huwa wananifurahisha,Ufaransa Monaco hahaha!! Ukiniona kwenye nyuzi za LFC,Chelsea, Arsenal nipo na watani wangu tunapakana rangi....
Kwanini unakuwa na timu nyingi Mkuu, njoo spain ambapo mpira unachezwa na unafurahia radha ya soka.
karibu FC Barcelona.
ahlaan wasahlaan...
sheikh nasikia umeuza simu na umekwenda kujitibu tezi Dume na ndo maana huonekani jamvini...???
Teh teh, me mbona kaniaga anaenda Catalunya kumshuhudia Messi akiwafanya mbaya malaika weupe