FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

baada ya madrid kugoma fainali ya copa kuchezewa santiago.sasa fainali itachezewa comp now huku kila timu ikipewa tikeke 40000
inamaana ilikua ipigwe pale santiago bernabeu halafu wamekataa eee wanaogopa barca asije kuchukua ubongwa katika dimba lao kwa maana hiyo final itapigwa camp nou
 
final ikipigwa Camp Nou ina maana kombe limeshakaa mikononi mwetu.
 
R.M wanaogopa siyo, tuitakie heri timu yetu ibebe hiyo ndoo pale pale nyumbani.
 
R.M wanaogopa siyo, tuitakie heri timu yetu ibebe hiyo ndoo pale pale nyumbani.

....huu mwaka mm nina furaha sana.
....furaha ya kwanza ni pale Chelsea alipoaga UEFA, akafata Arsenal.
.....furaha imezidi baada ya real madrid kupangwa na atletico madrid UEFA.
 
Messi anaongoza kwa uchezaj bora kwa mwaka 2015 huku ronado akishika nba 29 wa pili ni arjen roben HAPANA CHEZEA MESSSSSSSI
 
inamaana ilikua ipigwe pale santiago bernabeu halafu wamekataa eee wanaogopa barca asije kuchukua ubongwa katika dimba lao kwa maana hiyo final itapigwa camp nou

perez kaogopa kuona akina larpota akipeperusha bendera ya catalan ndan castian iko kisiasa zaidi kwa madrid kukataa uwanja wao kutumika
 
Hahahaha ALEYN unanifurahisha sana..... Tuombe Mungu ndoo tuichukue ili azidi kung'araa

furaha yetu itaanza kumiminika siku ambayo Real Madrid anaaga rasmi UEFA, hakika tutalia kwa furaha.
Madrid akitoka kombe letu.
 
Last edited by a moderator:
....huu mwaka mm nina furaha sana.
....furaha ya kwanza ni pale Chelsea alipoaga UEFA, akafata Arsenal.
.....furaha imezidi baada ya real madrid kupangwa na atletico madrid UEFA.

Hujionei huruma kupangwa na PSG, unatuonea huruma sisi kupangwa na atletico
 
furaha yetu itaanza kumiminika siku ambayo Real Madrid anaaga rasmi UEFA, hakika tutalia kwa furaha.
Madrid akitoka kombe letu.

Haaahaa, dua la kuku halimpati mwewe. Msimu huu La Novena. Halafu mbona jukwaa lenu limepwaya sana.?
 
....huu mwaka mm nina furaha sana.
....furaha ya kwanza ni pale Chelsea alipoaga UEFA, akafata Arsenal.
.....furaha imezidi baada ya real madrid kupangwa na atletico madrid UEFA.
hii kupangwa na atletico madrid nimeipenda na mimi mkuu ukizingatia wale atletico wana kisasi kile ambacho real madrid waliwashinda katika final ya mwaka jana CL tena kwa secunde za mwisho leo hii nao wanataka wawalipe usishangae siku hiyo ramos na pepe kupewa red card kwa rafu zao watakazo cheza
 
Kwanini unakuwa na timu nyingi Mkuu, njoo spain ambapo mpira unachezwa na unafurahia radha ya soka.
karibu FC Barcelona.

Hapo sasa hawa watu wa Man Utd, wanacheza mpira utadhani Marathoni!!

Daah! Yaani hata kiingilio (£25) unaona kama umeibiwa. Soka Spain jomba.
 
Hujionei huruma kupangwa na PSG, unatuonea huruma sisi kupangwa na atletico

PSG wetu wale, wana kadi za njano wengi tuu, hii itawafanya wapunguze makali yao. Bila kusahau Verati anakaa nje. Mtoto mtundu sana huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…