FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hiyo ni dakika ya 55, siku hizi The vampire kawa mtaaaaaam!!!!

Tangu Jpili walivyotoka kwenye Game ya Celta Vigo bila yeye kufunga, nikampa pole, akaapa akasema Game ijayo dhidi ya Almeria lazima afunge.
Hapa nachat na demu wake Watsup anafuraha vibaya sana aisee.
 
Aiseee !! Safi sna, leo natamani sana Messi apige hat trick lakini hawana Almeria wanabana sana.
 
Aiseee !! Safi sna, leo natamani sana Messi apige hat trick lakini hawana Almeria wanabana sana.

sio mwamba wamebana ila tunajaribu kucheza mpira wa kawaida kwamba PSG wasijue mpira halisi tunacheza kwa sasa.
 
Hawa Almeria wanafanya Sub ila mpira wao haubadiliki, hawa washamba nini. Wanakuwa ka Man U!!!
 
Hawa watoto Rafinha na Sergi Roberto ni wazuri kuliko hata viungo wa Man U. Madogo wanacheza soka la kasi, wanapeleka mipira mbele kwa haraka na wanakaba kwa kasi kubwaaa!!!
 
Hawa Almeria wanafanya Sub ila mpira wao haubadiliki, hawa washamba nini. Wanakuwa ka Man U!!!

Uache uchokozi tutakosana sasahiv baba yang Lol......Man U ya sasa umeiona?? Watamu Kama mcharo!!!
 
Huyu jamaa nilimuona toka mwanzo alistahili kupata goli .

Ukiachana na Chelsea na Man City, hakuna club nyingine EPL wenye Beki kama Marc Bartra, sio Man U, Arsenal, Liverpool wala naniiiiii
 
Suarez again!!!!!! 4-0, a lovely ball from Pedro Rodriguez, angekuwa Ronaldo au Di Maria wa Man U wangetaka washinde wao. Safi sana Pedro.
 
Suarez again!!!!!! 4-0, a lovely ball from Pedro Rodriguez, angekuwa Ronaldo au Di Maria wa Man U wangetaka washinde wao. Safi sana Pedro.

Duh!! Hili goli hata sijaliona nilisinzia kidogo mimi leo haiko poa iko gonjwa gonjwa kidogo.
 
Suarez again!!!!!! 4-0, a lovely ball from Pedro Rodriguez, angekuwa Ronaldo au Di Maria wa Man U wangetaka washinde wao. Safi sana Pedro.

Di Maria hata siyo mchoyo always anawapa wenzake assist ya kutosha ndo maana hana hata magoli mengi toka ajiunge na Manu, ngoma ipo kwa Ronaldo!!!!!!
 
FT Barca 4-0 Almeria

Hongera sna Barcelona, asante Suarez, asante Messi, asante Bartra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…