everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Suareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez!!!!!!!!!!!!! Magic!!!!!
Hiyo ni dakika ya 55, siku hizi The vampire kawa mtaaaaaam!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez!!!!!!!!!!!!! Magic!!!!!
Hiyo ni dakika ya 55, siku hizi The vampire kawa mtaaaaaam!!!!
Tangu Jpili walivyotoka kwenye Game ya Celta Vigo bila yeye kufunga, nikampa pole, akaapa akasema Game ijayo dhidi ya Almeria lazima afunge.
Hapa nachat na demu wake Watsup anafuraha vibaya sana aisee.
Aiseee !! Safi sna, leo natamani sana Messi apige hat trick lakini hawana Almeria wanabana sana.
Hawa Almeria wanafanya Sub ila mpira wao haubadiliki, hawa washamba nini. Wanakuwa ka Man U!!!
Uache uchokozi tutakosana sasahiv baba yang Lol......Man U ya sasa umeiona?? Watamu Kama mcharo!!!
Excellent Marc Bartra!!! 3-0.
Huyu jamaa nilimuona toka mwanzo alistahili kupata goli .
Suarez again!!!!!! 4-0, a lovely ball from Pedro Rodriguez, angekuwa Ronaldo au Di Maria wa Man U wangetaka washinde wao. Safi sana Pedro.
Suarez again!!!!!! 4-0, a lovely ball from Pedro Rodriguez, angekuwa Ronaldo au Di Maria wa Man U wangetaka washinde wao. Safi sana Pedro.
Duh!! Hili goli hata sijaliona nilisinzia kidogo mimi leo haiko poa iko gonjwa gonjwa kidogo.
Unaumwa nini Dota?
Tonses na mafua zimenishika mbaya,hadi napumua kwa shida