FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

-Am good, hili Jukwaa la Barca halina udaku udaku na majungu.
-England kule maneno mengi harafu hakuna wanachofanya nje taifa lao.
-Kesho nipo Manchester City, nitashabikia Man City coz mpira wanaocheza unasomeka, ni tofauti na Man U.
Umepona Dota?

Daddy kesho naomba usiache kuangalia halafu utanipa majibu Man U ya sasa unaionaje, siyo mbaya leo Nina ahueni sana .....

Tuiombee timu yetu tuchomoke na point 3 si unaona RM wameshatufikia sasa ni kapoint kamoja,leo point 3 ni muhimu kuliko chochote.
 
-Hakukuwa na ulazima wa Sub ya kumtoa Neymar na kumuingiza Xavi.
-Iniesta alichoka mapema sana Match ya leo, huyu ndo alipaswa kutoka na kuingia Xavi, tena sio Xavi bali Rafinha.
-Rafinha bado ni kijana, angeweza kabisa kuenenda na ile presha ya Sevila.
-Totally nimeumia sana kupoteza hii Mechi.
 
Yaani nimekasirika ile mbayaaaa!! Lakini siyo mbaya ndo mambo ya mpira dakika 90, sasa RM wanatukimbiza na point 2.
yaaani acha tu yule kocha nae kwanini hajamtoa jiremy matheiu akamuingiza masherano yule nae suarez yuko na goli anapaisha mpira daah imeniuma ila tukubali matokeo
nina imani pep atarejea kuinoa hii timu
 
ivo huyu mascherano ana tatizo gani kaumia au kuna kadi juu yake gem ya pili hiii hachezi yule kocha anakera utamtoaji neymar uingize xiavi na alba leo hakua fiti bado jeraha linamsumbua alikua atoke n akuingizwa dogo marc barta
 
-Mathie ni mzuri ila sio kumzid Javier Mascherano.
-Kocha nadhani ameamua kumpumzisha ili acheze dhidi ya PSG, akiwekwa nje hata Game ya PSG basi huyu Kocha ni msiba kwetu.
-Majuzi tuu alitoka kupatanishwa na wachezaji ambao alikuwa hana mawasiliano nao vizuri, leo anataka kuanza bifu na wakina Neymar, Mascherano, Adriano n.k
 
Usiku mwema wapendwa yaani nimekasirika sana hata kuchambua soka lilikuwaje nashindwa, lakini ndo mambo ya mpira hayo tunasema ni dakika 90. Poleni Barca wenzangu.
 
Game ilikuwa ngumu hii, Sevilla si timu rahisi...

Ukiacha hii inayofuata nadhani itakuwa ya Valencia, game ngumu tena...

We gonna bounce back...

Ni kweli, hata hivyo tushukuru kwa draw maana wapinzan wetu walisema hatuchomoi, tuombe next tubebe point zote 3.
 
Game ilikuwa ngumu hii, Sevilla si timu rahisi...

Ukiacha hii inayofuata nadhani itakuwa ya Valencia, game ngumu tena...

We gonna bounce back...
sevilla kweli ni wabaya ila tulishawapiga 2 .0 dakika ya 84 watu wanakuja kuchomoa kocha anakera bwana
 
we win together we loose together TOGETHER EVERYONE ACHIEVE MORE(team) back laporta
 
-awatakia kila la heri Atletico Madrid.
-mungu awabariki mpate ushindi mnono.
 
Furaha yangu ni Atl Madrid amfunge Real Madrid 4-0 tena. Hivi kwani Torres ni cup tied ktk Champions League?
-Ondoa Shaka Mkuu, Mario Mandzukic kapona na leo yupo uwanjani kama kawaida.
-Madrid 4 anaweza akakaa kama kawaida endapo ataendelea kucheza mpira wake ule ule dhidi ya Atletico.
-Mimi niliota Real Madrid kapigwa 3-0 na huku mpira ukiendelea.
-Real Madrid asahau kuondoka na ushindi mechi ya leo.
 
Daddy ndoto zako siyo au ndoto yako itakuwa ni Future tense lol....

Daddy leo tupo uwanjani unaizungumziaje mechi ya leo?
 
psg leo anakalishwa wana chelsea njoni tushangirie pamoja alau mtoe machungu ya psg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…