everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
-Am good, hili Jukwaa la Barca halina udaku udaku na majungu.
-England kule maneno mengi harafu hakuna wanachofanya nje taifa lao.
-Kesho nipo Manchester City, nitashabikia Man City coz mpira wanaocheza unasomeka, ni tofauti na Man U.
Umepona Dota?
Daddy kesho naomba usiache kuangalia halafu utanipa majibu Man U ya sasa unaionaje, siyo mbaya leo Nina ahueni sana .....
Tuiombee timu yetu tuchomoke na point 3 si unaona RM wameshatufikia sasa ni kapoint kamoja,leo point 3 ni muhimu kuliko chochote.