Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
-kwako ndio 50/50 ila PSG wanaona 20/80.Wapi gutierezi? Hii game ni 50/50.
What a miss Neymar......
Unaona na Porto anachomtenda Bayern!??
Hata sijaangalia ngoja nione......
Messi kapunguza mwendo wao wakabung'aa
Hawa paris mbona wanacheza kwa tahadhari sana...utafikiri wako ugenini
Fanya haraka mama... Mkubwa anavuliwa nguoooooo hadharani na hatak kuchutamaa